Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Dada zetu tunashida wote humu ndani, tunataniana humu ndani sasa tusipowatongoza nyie tutamtongoza nani? Mnataka tushinde humu ila tutongoze FB na badoo? Nyie mtatongozwa na nani sasa si vizuri hivyo bwana, Mtukubalie.

Tunawapenda saana ndiyo maana. Mtu akikutongoza jua kakupenda eti na unapaswa kumkaribisha PM kwa mbwembwe zote.

Mnataka tuwape nini sisi zaidi ya mitongozo iliyotukuka(Gentamcyne)?na wewe uliyenambia haya walai sikuachi nitakuja na ID mpya tu.

"Wanaume wa JF ndivyo mlivyo" sio hivyo sisi tunajua kuwapenda ni woga wenu tu. Nyie tuacheni tuplay role yetu ya kuwa Seduce maana tushakuwa vipusa.

Tuzidi kumwombea Lisu.
Nipo upande wako buda
 
hahaha bro ni nan huyo anakutoa povu ivoo,,alaf una mdogo ako uku eti sijaelewa iyo statimentii kabisa
 
Hayo ndio mambo ya jf mtatongozana kwa simu na mtadinyana kwa kutumia simu
 
Back
Top Bottom