Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kama kawa kukata na kupooza mkuuUnapuliza na kung'ata dadeq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawa kukata na kupooza mkuuUnapuliza na kung'ata dadeq
Acha nikaandae nondo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulipuke wote unajua vizuri huwa sipendi usumbuke kwa chochote.
Muombe miss chagga atakupa namba umtumieAlafu madem wa JF muwe na misimamo... Yaani hela mnataka lakini kutongozwa hamtaki.
na tukiwaomba namba ya simu ili tuwatumie hizo hela mnazozitaka pia hamtupi... sasa tuwaeleweje?
Hebu kuweni na msimamo...
Hunter nimetoka mbali sana na huyo kiumbe wangNaona fursa inakunyemelea HUNTER
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Niandalie na mimi si unajua weakness yang bibie. [emoji23]Acha nikaandae nondo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe haujatongozwa!!! Wenzio wanatongozwa hadi wanafungua nyuzi!!!Ni muda muafaka wanawake wa jf kuanza kutongoza wanaume humu, ondoen uwoga hyo ndo haki sawa sasa
Dogo tafadhali sana na binti yangu.Me nishajipanga nipatie namba yako please
Mtupe pesa.kiukweli wanawake wengi hawajielewi.. wakitongozwa wanalalamika na wasipotongozwa pia hulalamika!
sasa tuwafanyaje?
Hunter kwa hiyo unaniambia Colle Williams hana chake kule chimbo??Hunter nimetoka mbali sana na huyo kiumbe wang
na mkipewa pesa mnalalamikaMtupe pesa.
tukiwapa pesa still mnalalamika hatuwajali mara hatuwafikishi! unless uwe umejiwekea we ni pesa tu everything else is irrelevantMtupe pesa.
Kwenda nao sawa na kuishi nao kwa akili basi tukiukweli wanawake wengi hawajielewi.. wakitongozwa wanalalamika na wasipotongozwa pia hulalamika!
sasa tuwafanyaje?
wewe kwa shemeji ipo hivi
OhoooAcha nikaandae nondo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mtupatie zile tunazotaka kila tunapotaka ili tusilalamike.na mkipewa pesa mnalalamika
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Aaaah mie pesa tu vingine havina ulazima, labda uamue tu mwenyewe.tukiwapa pesa still mnalalamika hatuwajali mara hatuwafikishi! unless uwe umejiwekea we ni pesa tu everything else is irrelevant