Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Alafu madem wa JF muwe na misimamo... Yaani hela mnataka lakini kutongozwa hamtaki.
na tukiwaomba namba ya simu ili tuwatumie hizo hela mnazozitaka pia hamtupi... sasa tuwaeleweje?
Hebu kuweni na msimamo...
Muombe miss chagga atakupa namba umtumie
 
kiukweli wanawake wengi hawajielewi.. wakitongozwa wanalalamika na wasipotongozwa pia hulalamika!
sasa tuwafanyaje?
 
Ni muda muafaka wanawake wa jf kuanza kutongoza wanaume humu, ondoen uwoga hyo ndo haki sawa sasa
Kumbe haujatongozwa!!! Wenzio wanatongozwa hadi wanafungua nyuzi!!!
 
kiukweli wanawake wengi hawajielewi.. wakitongozwa wanalalamika na wasipotongozwa pia hulalamika!
sasa tuwafanyaje?
Kwenda nao sawa na kuishi nao kwa akili basi tu

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…