Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Linamo nimeshindwa kutoa comment katika uzi wa husna kuwa ni dume. Mbona madume jike wengi. Nikupe mwingine? Shunie unaafiki niteme cheche za jamaa anayejifanya jike wakati ni dume!
Ukiwaambia ni tag
Ulijuaje wewe mlozi kweli. Niliomba tu ruhusa ili mimi nitaje ila Linamo na shogaa yake Shunie wameninyima kibali. Ombi laweza kukubaliwa au kukataliwa ila sikati tamaa siku nikipata kibali namtaja huyo mtu
Ni niniii tena jike dume ndio nani tena sergio ebu nieleweshe naona shunie na Linamo mie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…