Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Hatusemi kutongoza bali tunachangamsha mdomo...
Hatuwezi kuishi na silaha alafu hata majaribio hazifanyiwi, Kim mwenyewe anajaribu silaha zake sembuse sisi..
Akina dada mtusamehe kama tunawakwaza ila hatuna namna,,,
 
we daby wewe....
 
Kutongozwa ni kawaida,msipotongozwa mnalalamika.

kutongozwa sio ishu ,huyo mtongozaji ndio ishu ana kuvutia hata ukikaa nae kunywa soda ? maan wengine reception ni shida ,,,ukimuona tu hadi unaanza kubonyeza simu yako nyingine kujipigia kuwa unaongea na mtu ili upate kumwambia uko na dharura....
 
Oouh,
Karibu nipo na mpango nikuseduce ila usinikaripie wala kuniambia nipambane na hali yangu.

uniseduce ndo kufanya nin tena huko? nieleweshe maana namsikia kiba akisema seduce na sijui maana yake
 
Sijawahi kuona wanawake wanaodeka kama hawa wa kwetu hapa.

Hapa ndiyo wamegoma. Nilienda FB kwa week tu watoto hawana shida... hawa wa kwetu sasa! !

Wadada njooni tutete uzi huu hautii mimba.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…