Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Ni kweli. Mwaka 2015 nilibadili profile pic na kuweka ya dem wangu. Inbox ilkuwa kila siku watu kutuma text. Nimebadili hata sioni text

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
Daah,
Wewe tukuambie nini sasa mkuu? Kwa vidume hauna jipya irudishe tena uone [emoji3]
 
Ni kweli. Mwaka 2015 nilibadili profile pic na kuweka ya dem wangu. Inbox ilkuwa kila siku watu kutuma text. Nimebadili hata sioni text

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
eka tena ya demu wako mkuu
 
Ni kweli. Mwaka 2015 nilibadili profile pic na kuweka ya dem wangu. Inbox ilkuwa kila siku watu kutuma text. Nimebadili hata sioni text

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.

Ulivyoandika ni kama unazi-miss hizo nyakati za texts bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…