Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Posts
33,894
Reaction score
76,810
Dada zetu tunashida wote humu ndani, tunataniana humu ndani sasa tusipowatongoza nyie tutamtongoza nani? Mnataka tushinde humu ila tutongoze FB na badoo? Nyie mtatongozwa na nani sasa si vizuri hivyo bwana, Mtukubalie.

Tunawapenda saana ndiyo maana. Mtu akikutongoza jua kakupenda eti na unapaswa kumkaribisha PM kwa mbwembwe zote.

Mnataka tuwape nini sisi zaidi ya mitongozo iliyotukuka(Gentamcyne)?na wewe uliyenambia haya walai sikuachi nitakuja na ID mpya tu.

"Wanaume wa JF ndivyo mlivyo" sio hivyo sisi tunajua kuwapenda ni woga wenu tu. Nyie tuacheni tuplay role yetu ya kuwa Seduce maana tushakuwa vipusa.

Tuzidi kumwombea Lisu.
 
Mtongozo randomly kama wale waliopiga risasi 30 kwa lisu wakapatia 5[emoji23][emoji23][emoji23]

Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
Duuh. . . . Mzee wee hatari
Mimi na kukuzidi miaka humu ila sijawahi kutongoza wote hao
 
Alafu madem wa JF muwe na misimamo... Yaani hela mnataka lakini kutongozwa hamtaki.
na tukiwaomba namba ya simu ili tuwatumie hizo hela mnazozitaka pia hamtupi... sasa tuwaeleweje?
Hebu kuweni na msimamo...
Cc espy
 
Duuh. . . . Mzee wee hatari
Mimi na kukuzidi miaka humu ila sijawahi kutongoza wote hao
Hahahahaha wewe kama Mimi Ila kunakipindi nilikuwa naandaa nondo za kumtokea mtoto Smile.... Gafla bin vuuu akapotea kwenye neuz za jf...... Baada YA hapo nikasena labda Mungu kaniepusha ni kibuti
 
Hahahahaha wewe kama Mimi Ila kunakipindi nilikuwa naandaa nondo za kumtokea mtoto Smile.... Gafla bin vuuu akapotea kwenye neuz za jf...... Baada YA hapo nikasena labda Mungu kaniepusha ni kibuti
[emoji3][emoji3]
Vya mbavu vinauma hatari.. mimi ndiyo nilikuwa najiandaa kujinoa lahaula nikakutana na hiyo statement eti tunatongoza saana.

Sasa sijui wanataka tusitongozee!
 
Mpaka sasa hawa mabinti wamegoma kuja kwenye huu uzi, maana yake wanaogopa kweli mitongozo au ni pozi tu
Sijawahi kuona wanawake wanaodeka kama hawa wa kwetu hapa.

Hapa ndiyo wamegoma. Nilienda FB kwa week tu watoto hawana shida... hawa wa kwetu sasa! !

Wadada njooni tutete uzi huu hautii mimba.
 
Back
Top Bottom