Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

[emoji3][emoji3][emoji3]
Mzee huyo nimempa taarifa tu bwana.

BTW, naona bibie kapotea kala ban ya mwaka kutag tag umepunguza
Cc Money Penny
Ha ha ha ha mzee najua namna yako ya kutoa taarifa aisee ila sio mbaya nmekuelewa mnoo.
Ngoja nimtag dada ako hapa kama hujasikia sentens ya kwanza tuma Mpesa/Tigo Pesa

C.c espy
 
Dada zetu tunashida wote humu ndani, tunataniana humu ndani sasa tusipowatongoza nyie tutamtongoza nani? Mnataka tushinde humu ila tutongoze FB na badoo? Nyie mtatongozwa na nani sasa si vizuri hivyo bwana, Mtukubalie.

Tunawapenda saana ndiyo maana. Mtu akikutongoza jua kakupenda eti na unapaswa kumkaribisha PM kwa mbwembwe zote.

Mnataka tuwape nini sisi zaidi ya mitongozo iliyotukuka(Gentamcyne)?na wewe uliyenambia haya walai sikuachi nitakuja na ID mpya tu.

"Wanaume wa JF ndivyo mlivyo" sio hivyo sisi tunajua kuwapenda ni woga wenu tu. Nyie tuacheni tuplay role yetu ya kuwa Seduce maana tushakuwa vipusa.

Tuzidi kumwombea Lisu.

Katika uwiano wa kutongoza na kufanikiwa kwa utalaam binasfi, nimefanikiwa kwa asilimia 99%, YANI NAMAANISHA, KWA MFANO NIMETONGOZA 10, 2 WALINIBOA, 8 NILIWAPATA, 2 HAWAKUWA CHAGUA LANGU, NIMEWALA 6.
 
Katika uwiano wa kutongoza na kufanikiwa kwa utalaam binasfi, nimefanikiwa kwa asilimia 99%, YANI NAMAANISHA, KWA MFANO NIMETONGOZA 10, 2 WALINIBOA, 8 NILIWAPATA, 2 HAWAKUWA CHAGUA LANGU, NIMEWALA 6.
Aseeh kwa ID hii hii mpya? Maana wengi wanaziogopa
 
Aseeh kwa ID hii hii mpya? Maana wengi wanaziogopa

HII MIMI NI MTU MPYA, HAYA NI YA NYUMA KAKA, TENA TULIKUWA WASHKAJI SANA, HUWA NAINGIAGA KULE NA KUCHANGIA KILA WAKATI, HA HA HA, I HOPE SIKU MOJA SITAKOSEA, NDUGU YANGU.
 
HII MIMI NI MTU MPYA, HAYA NI YA NYUMA KAKA, TENA TULIKUWA WASHKAJI SANA, HUWA NAINGIAGA KULE NA KUCHANGIA KILA WAKATI, HA HA HA, I HOPE SIKU MOJA SITAKOSEA, NDUGU YANGU.
Washkaji saana? Daah hata kunimegea mshkaji wako mbinu aseeh.

Nitakudaka kwa rada yangu tu wewe.
 
Back
Top Bottom