Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Eti tuwaache watutongoze tu maana wameubwa kututongoza.
Mie nawakumbusha tu na pesa watupatie tu maana wameumbwa kutupatia.
Ni kama vile wanataka tukitongozwa tusikatae. Ili wapate mada kuwa tunajirahisisha, maharage ya mbeya etc..teh
 
Back
Top Bottom