Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Tatizo mnatutongoza na kufikiria kuwa sie ni wazuri wakati kiuhalisia ni wa kawaida tu,,kimbembe tunapokuja kuonana na unakuta chura haipo,sura kama ya magu ,miguu kama muwa ndipo mnakuja kututangaza humu kuwa tuna matiti kama matikiti ya morogoro
Mi ni hayo tu
 
Khaa hivi huu uzi kumbe kaanzisha Daby ....hebu kuja hapa uniambie umetongoza wangapi? Na huyo aliyekwambia hayo ni id yangu nyingine hiyo we ingia kichwa kichwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom