Itakuwa ni wewe uliyemtoroka .......Hayo maswala mtu umeitwa peke yako mtoke out we jitu unaalika na mashoga zako huwa mnakera sana nyie wanawake......
Hata ningekuwa mimi ningetoroka
Mambo gani hayo kama ningekuwa nahitaji watu zaidi si ningewabeba washkaji zangu nije nao!
Acheni hizo bwana
Kabisaaa! We bili laki mbili na upuuzi hukoo... Si mtaji wa biashara kabisa huo!!!Mhh hadi ww shogaangu
[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ningekua mimi nisingeondoka kwa kisingizio ningetoka mbio za Harmorapa nikasimamishiwe Chalinze.