kwa unywaji huo,huwezi kuwa na pasword,huko kuna free passNna password babu eeeeh
Yaani wewe kwa style hiyo uligoingia nayo tayari umeshaji-disqualify mwenyewe.Wanaume bukta mpo wengi humu
Yaani wewe kwa style hiyo uliyoingia nayo tayari umeshaji-disqualify mwenyewe.Wanaume bukta mpo wengi humu
Ilaa?
Tatizo la watu wa kolomije, mi nisingejali nsharisk ningehakikisha wote mnatoka pale mko mboga muchicha,then huko mafichoni sasa ndo mngeelewa damage.
Kwa wakubwa???Hivi kudate mwanamke wa hivi si ujinga kweli? Unaitwa out unachukua furushi la watu mnabebana kama vile kwenu hamna chakula?
Mimi ningemwambia live, nimekuita wewe na sio rafiki zako, hujitambui kwa hiyo siwezi hata kukaa na wewe, goodbye!!
Paprika ndio umekataa kujaribu kwa wakubwa[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
wajinga sana hao mademuUnavyolalamika kuwa wanaume wamenakimbia bill mbona wewe umeshindwa kulipa? Eti mkoba mkubwaaaa kumbe una elfu tano, pumbaavu! Hiyo ndo daw yenu sasa.
Wakati mnafikiria kwenda kumchuna mtu mkumbuke pia kuwa hii ni awamu ya 5 sio mnakurupuka tu kama bado tupo awamu ya 4 ya uongozi. Kuna baadhi ya mambo ambayo yalikua yanafanyika kirahisi katika awamu ya 4 na katika awamu hii hayawezekani tena. Someni alama.
Jinga sana huyo manziBratan huyu unaweza kumwita guest still akaja na rafiki zake..Bure kabisa
Kwa hio ulitaka unyweshwe bure uondoke bila kupigwa pipe. Shenziiii, na jamaa alishakusomea gepu akaona utamyeyusha tu...Bora alivunja uwa mapema!Kazi kuteteana tu
Ndio maana nikaja na mashost zangu kuukwepa huo mtungo
AiseeeHakuna ushamba kama kupewa appointment na mwanaume halafu wewe unaenda na rafiki yako wa kike. Ni ujinga wa hali ya juu sana. Dada zetu jifunzeni dating, la sivyo muache maana sio utamaduni wetu-ni wa wazungu. Mzungu au mwanamke kutoka nchi zilizoendelea hawezi kufanya ujinga huo.
Ukikutana na msela mwenye pesa yake, anamega timu nzima uliyoileta. Imagine ingekuwa umekubali kumpa penzi mwanaume, halafu huyo mwanaume akakuletea timu yake wakupige mtungo ungejisikiaje? Mwanamke anayepeleka timu kwenye date ni mpumbavu sana.