Wanaume wa JF katika tuhuma nzito ya kukimbia bili za bar

Wanaume wa JF katika tuhuma nzito ya kukimbia bili za bar

Jamaa angelipa angekua boya , kwani uliitwa first date wewe ukageuza picknick, halaaa
 
Umeamua tu kufurahisha genge kwa hadithi nzuri ya kuvutia.

Maana watoto wa mjini hawali polisi kwa kushindwa kulipia alichokula mwenyewe.
Watatu hiyo 235,000 imewashindeni, Huyo mmoja kashindwa mnashtuka.
SIO KWELI
 
Jidanganye
 
Hivi kudate mwanamke wa hivi si ujinga kweli? Unaitwa out unachukua furushi la watu mnabebana kama vile kwenu hamna chakula?

Mimi ningemwambia live, nimekuita wewe na sio rafiki zako, hujitambui kwa hiyo siwezi hata kukaa na wewe, goodbye!!

Paprika ndio umekataa kujaribu kwa wakubwa[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
Kwa wakubwa???
 
Unavyolalamika kuwa wanaume wamenakimbia bill mbona wewe umeshindwa kulipa? Eti mkoba mkubwaaaa kumbe una elfu tano, pumbaavu! Hiyo ndo daw yenu sasa.
Wakati mnafikiria kwenda kumchuna mtu mkumbuke pia kuwa hii ni awamu ya 5 sio mnakurupuka tu kama bado tupo awamu ya 4 ya uongozi. Kuna baadhi ya mambo ambayo yalikua yanafanyika kirahisi katika awamu ya 4 na katika awamu hii hayawezekani tena. Someni alama.
wajinga sana hao mademu
 
Kazi kuteteana tu

Ndio maana nikaja na mashost zangu kuukwepa huo mtungo
Kwa hio ulitaka unyweshwe bure uondoke bila kupigwa pipe. Shenziiii, na jamaa alishakusomea gepu akaona utamyeyusha tu...Bora alivunja uwa mapema!
 
Hakuna ushamba kama kupewa appointment na mwanaume halafu wewe unaenda na rafiki yako wa kike. Ni ujinga wa hali ya juu sana. Dada zetu jifunzeni dating, la sivyo muache maana sio utamaduni wetu-ni wa wazungu. Mzungu au mwanamke kutoka nchi zilizoendelea hawezi kufanya ujinga huo.

Ukikutana na msela mwenye pesa yake, anamega timu nzima uliyoileta. Imagine ingekuwa umekubali kumpa penzi mwanaume, halafu huyo mwanaume akakuletea timu yake wakupige mtungo ungejisikiaje? Mwanamke anayepeleka timu kwenye date ni mpumbavu sana.
 
Aiseee
 
Back
Top Bottom