Ndo dawa yaohahahhhh mtungo tena
huwez mkomoa mtu mwny mawe, labda km aamue tu kukufanyia uhuni.....me najua laki5 mcngemaliza, ningewapga ofa hlf nikawakaribisha nxt tym, hlf ht issue ya kukupga 'p' ncngekugusia kwnz!Heheeeee[emoji3] [emoji3] halooo[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Jana hiyoo jamaa kwa mda mreeefu alikuwa analia lia pm hapa jf nakupenda nyiingi wakati hanijui na mimi simjuii
Nikaona isiwe tabu naweza nikawa natupa almasi kwenye tundu la choo buree. Hee tukapanga tukutane bar moja hivi kwa maongezi ya hapa na pale ili atoe yake ya rohonii
Mhhh!!! Na mimi nlielewa mapema hapa ni mjini mtoto wa kike unaweza ukajipeleka hovyo hovy tena kwa mtu usie mjua ukaishia kuwekewa madawa kwenye kinywaji then ukaenda kupigwa mzigoo.
Nkasema asintaniie[emoji2] [emoji2] heheeee!! Hallooo[emoji108] [emoji108]
ikanibidi niwachukue mabest zangu wawili watoto wa kizaramo hao "Lailati" na "Asnati kiunofeni" ili wanipe kampani siku hiyo
Tukajipanga kabisa tukifika eneo la tukio siku hiyo hamna kuwa na huruma ya kuagiza vibia vya watoto. Nikawaambia ni mwendo wa kuagiza Heineken/Amarula/Grants+Nyamachoma kwa kwenda mbele yaani ni mwendo wa kumtumbua hadi awe na adabu.
Yote hayoo nikijua vidume vya jf vina pesa chafu. Heheeeeeee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
"Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza wallah"
Ikafika siku ya tukio mtu tatu tumeshajipanga kwenda kumtumbua mtu hapo. Tukawasiliana eneo alilopo na wakati hayo yoote yakiendelea alikuwa hajui kama nna kampani ya rafiki zangu hivyo nilifanya kama surprise yani
Ile kufika hadi meza aliyopo jamaa macho yakamtoka huku akiwa na woga akashangaa mtu tatu zote vipi. Nikamwambia kuwa wale ni mabest zangu hivyo asihofu.
Heheeeeeiyaaaaaaaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Jamaa akamwita mhudumu atuhudumie vinywaji mda huo huo akamwita na mhudumu wa jikoni na uzuri wa ile bar hawadai hela papo hapo but baada ya matumizi unaletewa bili yako ulipe
Basi mimi nikaagiza Dompo mezani, Asnati akaagiza Heineken mbili baridii mezani na lailati akaagiza Amarula huku tukisubiria nyama ya mbuzi kilo mbili kutoka jikoni.
Yaani ikawa ni mwendo wa kuagiza tu na kama kawaida watoto wa mjini hatulewagi ikawa ni mwendo wa nyama na kinywaji tu yaani funika funua
Heheeeeeee!!! Halloooooooo!!![emoji108] [emoji108]
Ilipofika mida ya usiku wa saa moja jamaa akaletewa bili yake na mhudumu na cha kushangaza ni baada ya kuisoma ile bili alitoa mimacho gafla
Baada ya kuisoma ile bili akatuomba aende kwenye ATM iliyiliyopo eneo la nje karibi na ile bar ili atoe pesa aje alipe ile bili
So nikamwambia asichelewe kurudi ili aje aturudishe nyumbani maana alisema ana usafiri
Heheeeeeeee kumbe bwana yule alituacha pale kama dhamana kumbee bili imemshindaa akaamua kuingia mitini
Bwanaa wahudumu wakaja tena kudai chao ikabidi tusiwe na lakufanya tuulizie bili yenyewe sh ngapi cuz bwana yule hata kwenye sim hakupatikana tena
Tukapewa bili ya sh 235,000 ya vinywaji vyote na vyakula. Acha macho yanitokeeee
Kwenye pochi nlikuwa na 5,000 tu ya nauli na bwana yule kashakimbia. Na mashoga zangu nao walikuwa hawana hela so meneja wa bar walinzi ikabidi watupeleke central tulale polisi hadi wadhamini waje walipe deni ili tutoke
Wanaume wa jf hasa wa dar mnatia aibu jamani
Heheeeeeeeeeee!!!!!!!!
Mxieww
.....baada ya hapo ningewagegeda mmoja baada ya mwngne, tena baada ya ww najua angefuata Lairati[emoji2]huwez mkomoa mtu mwny mawe, labda km aamue tu kukufanyia uhuni.....me najua laki5 mcngemaliza, ningewapga ofa hlf nikawakaribisha nxt tym, hlf ht issue ya kukupga 'p' ncngekugusia kwnz!
Ata we we unatia aibu utatumiaje 230000 alafu una 5000. Tu at a kama ni ofa. Ukweli umejishusha nzalaa inakusumbuaHeheeeee[emoji3] [emoji3] halooo[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Jana hiyoo jamaa kwa mda mreeefu alikuwa analia lia pm hapa jf nakupenda nyiingi wakati hanijui na mimi simjuii
Nikaona isiwe tabu naweza nikawa natupa almasi kwenye tundu la choo buree. Hee tukapanga tukutane bar moja hivi kwa maongezi ya hapa na pale ili atoe yake ya rohonii
Mhhh!!! Na mimi nlielewa mapema hapa ni mjini mtoto wa kike unaweza ukajipeleka hovyo hovy tena kwa mtu usie mjua ukaishia kuwekewa madawa kwenye kinywaji then ukaenda kupigwa mzigoo.
Nkasema asintaniie[emoji2] [emoji2] heheeee!! Hallooo[emoji108] [emoji108]
ikanibidi niwachukue mabest zangu wawili watoto wa kizaramo hao "Lailati" na "Asnati kiunofeni" ili wanipe kampani siku hiyo
Tukajipanga kabisa tukifika eneo la tukio siku hiyo hamna kuwa na huruma ya kuagiza vibia vya watoto. Nikawaambia ni mwendo wa kuagiza Heineken/Amarula/Grants+Nyamachoma kwa kwenda mbele yaani ni mwendo wa kumtumbua hadi awe na adabu.
Yote hayoo nikijua vidume vya jf vina pesa chafu. Heheeeeeee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
"Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza wallah"
Ikafika siku ya tukio mtu tatu tumeshajipanga kwenda kumtumbua mtu hapo. Tukawasiliana eneo alilopo na wakati hayo yoote yakiendelea alikuwa hajui kama nna kampani ya rafiki zangu hivyo nilifanya kama surprise yani
Ile kufika hadi meza aliyopo jamaa macho yakamtoka huku akiwa na woga akashangaa mtu tatu zote vipi. Nikamwambia kuwa wale ni mabest zangu hivyo asihofu.
Heheeeeeiyaaaaaaaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Jamaa akamwita mhudumu atuhudumie vinywaji mda huo huo akamwita na mhudumu wa jikoni na uzuri wa ile bar hawadai hela papo hapo but baada ya matumizi unaletewa bili yako ulipe
Basi mimi nikaagiza Dompo mezani, Asnati akaagiza Heineken mbili baridii mezani na lailati akaagiza Amarula huku tukisubiria nyama ya mbuzi kilo mbili kutoka jikoni.
Yaani ikawa ni mwendo wa kuagiza tu na kama kawaida watoto wa mjini hatulewagi ikawa ni mwendo wa nyama na kinywaji tu yaani funika funua
Heheeeeeee!!! Halloooooooo!!![emoji108] [emoji108]
Ilipofika mida ya usiku wa saa moja jamaa akaletewa bili yake na mhudumu na cha kushangaza ni baada ya kuisoma ile bili alitoa mimacho gafla
Baada ya kuisoma ile bili akatuomba aende kwenye ATM iliyiliyopo eneo la nje karibi na ile bar ili atoe pesa aje alipe ile bili
So nikamwambia asichelewe kurudi ili aje aturudishe nyumbani maana alisema ana usafiri
Heheeeeeeee kumbe bwana yule alituacha pale kama dhamana kumbee bili imemshindaa akaamua kuingia mitini
Bwanaa wahudumu wakaja tena kudai chao ikabidi tusiwe na lakufanya tuulizie bili yenyewe sh ngapi cuz bwana yule hata kwenye sim hakupatikana tena
Tukapewa bili ya sh 235,000 ya vinywaji vyote na vyakula. Acha macho yanitokeeee
Kwenye pochi nlikuwa na 5,000 tu ya nauli na bwana yule kashakimbia. Na mashoga zangu nao walikuwa hawana hela so meneja wa bar walinzi ikabidi watupeleke central tulale polisi hadi wadhamini waje walipe deni ili tutoke
Wanaume wa jf hasa wa dar mnatia aibu jamani
Heheeeeeeeeeee!!!!!!!!
Mxieww
Ndiyo dawa yenu! Uchungu pesa aujua mtafutaji..!Tatizo hamuaminiki
We unafikiri angekulipia bili hiyo ungeachwa hivihivi ata kama mpo tim mzima lazima ungepigwa nyingi Ata hivyo ujamalizia nan alikutoa police inaonekana meneja alikufuga ukawa Kama mkewe mpaka den likaishaKazi kuteteana tu
Ndio maana nikaja na mashost zangu kuukwepa huo mtungo
Pesa zipo ila sio za matumizi ya hovyo kiasi hicho usawa huu wa magu jamaa akafikiria akakumbuka akajiuliza ina [emoji342] ndani akaona chengaHawana hela shogaangu
Angeusoma mchezo mapema akajua kuna posibility ya kuachiwa bili akajiongeza kwa kpa kampani ya kwenda benki[emoji12]Amsindikize kwani alikuja naye?
Hiyo akili ilikuwa ishachukuliwa na gambeAngeusoma mchezo mapema akajua kuna posibility ya kuachiwa bili akajiongeza kwa kpa kampani ya kwenda benki[emoji12]
Yaani nilikuwa naisubiri komenti yako kana vile nasuburia tamthilia ya TAUSI
tehe tehe tehe haya shostitoHawana hela shogaangu
Heheeeee[emoji3] [emoji3] halooo[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Jana hiyoo jamaa kwa mda mreeefu alikuwa analia lia pm hapa jf nakupenda nyiingi wakati hanijui na mimi simjuii
Nikaona isiwe tabu naweza nikawa natupa almasi kwenye tundu la choo buree. Hee tukapanga tukutane bar moja hivi kwa maongezi ya hapa na pale ili atoe yake ya rohonii
Mhhh!!! Na mimi nlielewa mapema hapa ni mjini mtoto wa kike unaweza ukajipeleka hovyo hovy tena kwa mtu usie mjua ukaishia kuwekewa madawa kwenye kinywaji then ukaenda kupigwa mzigoo.
Nkasema asintaniie[emoji2] [emoji2] heheeee!! Hallooo[emoji108] [emoji108]
ikanibidi niwachukue mabest zangu wawili watoto wa kizaramo hao "Lailati" na "Asnati kiunofeni" ili wanipe kampani siku hiyo
Tukajipanga kabisa tukifika eneo la tukio siku hiyo hamna kuwa na huruma ya kuagiza vibia vya watoto. Nikawaambia ni mwendo wa kuagiza Heineken/Amarula/Grants+Nyamachoma kwa kwenda mbele yaani ni mwendo wa kumtumbua hadi awe na adabu.
Yote hayoo nikijua vidume vya jf vina pesa chafu. Heheeeeeee[emoji3] [emoji3] [emoji3]
"Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza wallah"
Ikafika siku ya tukio mtu tatu tumeshajipanga kwenda kumtumbua mtu hapo. Tukawasiliana eneo alilopo na wakati hayo yoote yakiendelea alikuwa hajui kama nna kampani ya rafiki zangu hivyo nilifanya kama surprise yani
Ile kufika hadi meza aliyopo jamaa macho yakamtoka huku akiwa na woga akashangaa mtu tatu zote vipi. Nikamwambia kuwa wale ni mabest zangu hivyo asihofu.
Heheeeeeiyaaaaaaaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Jamaa akamwita mhudumu atuhudumie vinywaji mda huo huo akamwita na mhudumu wa jikoni na uzuri wa ile bar hawadai hela papo hapo but baada ya matumizi unaletewa bili yako ulipe
Basi mimi nikaagiza Dompo mezani, Asnati akaagiza Heineken mbili baridii mezani na lailati akaagiza Amarula huku tukisubiria nyama ya mbuzi kilo mbili kutoka jikoni.
Yaani ikawa ni mwendo wa kuagiza tu na kama kawaida watoto wa mjini hatulewagi ikawa ni mwendo wa nyama na kinywaji tu yaani funika funua
Heheeeeeee!!! Halloooooooo!!![emoji108] [emoji108]
Ilipofika mida ya usiku wa saa moja jamaa akaletewa bili yake na mhudumu na cha kushangaza ni baada ya kuisoma ile bili alitoa mimacho gafla
Baada ya kuisoma ile bili akatuomba aende kwenye ATM iliyiliyopo eneo la nje karibi na ile bar ili atoe pesa aje alipe ile bili
So nikamwambia asichelewe kurudi ili aje aturudishe nyumbani maana alisema ana usafiri
Heheeeeeeee kumbe bwana yule alituacha pale kama dhamana kumbee bili imemshindaa akaamua kuingia mitini
Bwanaa wahudumu wakaja tena kudai chao ikabidi tusiwe na lakufanya tuulizie bili yenyewe sh ngapi cuz bwana yule hata kwenye sim hakupatikana tena
Tukapewa bili ya sh 235,000 ya vinywaji vyote na vyakula. Acha macho yanitokeeee
Kwenye pochi nlikuwa na 5,000 tu ya nauli na bwana yule kashakimbia. Na mashoga zangu nao walikuwa hawana hela so meneja wa bar walinzi ikabidi watupeleke central tulale polisi hadi wadhamini waje walipe deni ili tutoke
Wanaume wa jf hasa wa dar mnatia aibu jamani
Heheeeeeeeeeee!!!!!!!!
Mxieww
Nipate msimamo wako halafu nilinganisha na mismamo yako kwenye mengine hasa kule JLWKwanini na Kwa Sababu gani