Wanaume wa JF katika tuhuma nzito ya kukimbia bili za bar

[emoji144] [emoji144] [emoji144] Hili jina Lairati jamani [emoji125] [emoji125]
 
Heheeeee[emoji3] [emoji3] halooo[emoji108] [emoji108] [emoji108]

Jana hiyoo jamaa kwa mda mreeefu alikuwa analia lia pm hapa jf nakupenda nyiingi wakati hanijui na mimi simjuii

Nikaona isiwe tabu naweza nikawa natupa almasi kwenye tundu la choo buree. Hee tukapanga tukutane bar moja hivi kwa maongezi ya hapa na pale ili atoe yake ya rohonii

Mhhh!!! Na mimi nlielewa mapema hapa ni mjini mtoto wa kike unaweza ukajipeleka hovyo hovy tena kwa mtu usie mjua ukaishia kuwekewa madawa kwenye kinywaji then ukaenda kupigwa mzigoo.

Nkasema asintaniie[emoji2] [emoji2] heheeee!! Hallooo[emoji108] [emoji108]

ikanibidi niwachukue mabest zangu wawili watoto wa kizaramo hao "Lailati" na "Asnati kiunofeni" ili wanipe kampani siku hiyo

Tukajipanga kabisa tukifika eneo la tukio siku hiyo hamna kuwa na huruma ya kuagiza vibia vya watoto. Nikawaambia ni mwendo wa kuagiza Heineken/Amarula/Grants+Nyamachoma kwa kwenda mbele yaani ni mwendo wa kumtumbua hadi awe na adabu.

Yote hayoo nikijua vidume vya jf vina pesa chafu. Heheeeeeee[emoji3] [emoji3] [emoji3]

"Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza wallah"

Ikafika siku ya tukio mtu tatu tumeshajipanga kwenda kumtumbua mtu hapo. Tukawasiliana eneo alilopo na wakati hayo yoote yakiendelea alikuwa hajui kama nna kampani ya rafiki zangu hivyo nilifanya kama surprise yani

Ile kufika hadi meza aliyopo jamaa macho yakamtoka huku akiwa na woga akashangaa mtu tatu zote vipi. Nikamwambia kuwa wale ni mabest zangu hivyo asihofu.

Heheeeeeiyaaaaaaaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38]

Jamaa akamwita mhudumu atuhudumie vinywaji mda huo huo akamwita na mhudumu wa jikoni na uzuri wa ile bar hawadai hela papo hapo but baada ya matumizi unaletewa bili yako ulipe

Basi mimi nikaagiza Dompo mezani, Asnati akaagiza Heineken mbili baridii mezani na lailati akaagiza Amarula huku tukisubiria nyama ya mbuzi kilo mbili kutoka jikoni.

Yaani ikawa ni mwendo wa kuagiza tu na kama kawaida watoto wa mjini hatulewagi ikawa ni mwendo wa nyama na kinywaji tu yaani funika funua

Heheeeeeee!!! Halloooooooo!!![emoji108] [emoji108]

Ilipofika mida ya usiku wa saa moja jamaa akaletewa bili yake na mhudumu na cha kushangaza ni baada ya kuisoma ile bili alitoa mimacho gafla

Baada ya kuisoma ile bili akatuomba aende kwenye ATM iliyiliyopo eneo la nje karibi na ile bar ili atoe pesa aje alipe ile bili
So nikamwambia asichelewe kurudi ili aje aturudishe nyumbani maana alisema ana usafiri

Heheeeeeeee kumbe bwana yule alituacha pale kama dhamana kumbee bili imemshindaa akaamua kuingia mitini
Bwanaa wahudumu wakaja tena kudai chao ikabidi tusiwe na lakufanya tuulizie bili yenyewe sh ngapi cuz bwana yule hata kwenye sim hakupatikana tena

Tukapewa bili ya sh 235,000 ya vinywaji vyote na vyakula. Acha macho yanitokeeee

Kwenye pochi nlikuwa na 5,000 tu ya nauli na bwana yule kashakimbia. Na mashoga zangu nao walikuwa hawana hela so meneja wa bar walinzi ikabidi watupeleke central tulale polisi hadi wadhamini waje walipe deni ili tutoke

Wanaume wa jf hasa wa dar mnatia aibu jamani

Heheeeeeeeeeee!!!!!!!!

Mxieww
huwez mkomoa mtu mwny mawe, labda km aamue tu kukufanyia uhuni.....me najua laki5 mcngemaliza, ningewapga ofa hlf nikawakaribisha nxt tym, hlf ht issue ya kukupga 'p' ncngekugusia kwnz!
 
Heeee kwani hujui hawana pesa?
Hata chumba cha gest wanakutegemea uwalipie;
Labda angekuwa ni Jamal Malinzi, wengi wengine ni
wanaume sarawali tu.

Hebu mtaje;
 
Hasa kumbe hata nyie wenyewe hata za kujikombolea hamna? Kwa mtaji huu acha tutorokwe tu....
 
huwez mkomoa mtu mwny mawe, labda km aamue tu kukufanyia uhuni.....me najua laki5 mcngemaliza, ningewapga ofa hlf nikawakaribisha nxt tym, hlf ht issue ya kukupga 'p' ncngekugusia kwnz!
.....baada ya hapo ningewagegeda mmoja baada ya mwngne, tena baada ya ww najua angefuata Lairati[emoji2]
 
Heheeeee[emoji3] [emoji3] halooo[emoji108] [emoji108] [emoji108]

Jana hiyoo jamaa kwa mda mreeefu alikuwa analia lia pm hapa jf nakupenda nyiingi wakati hanijui na mimi simjuii

Nikaona isiwe tabu naweza nikawa natupa almasi kwenye tundu la choo buree. Hee tukapanga tukutane bar moja hivi kwa maongezi ya hapa na pale ili atoe yake ya rohonii

Mhhh!!! Na mimi nlielewa mapema hapa ni mjini mtoto wa kike unaweza ukajipeleka hovyo hovy tena kwa mtu usie mjua ukaishia kuwekewa madawa kwenye kinywaji then ukaenda kupigwa mzigoo.

Nkasema asintaniie[emoji2] [emoji2] heheeee!! Hallooo[emoji108] [emoji108]

ikanibidi niwachukue mabest zangu wawili watoto wa kizaramo hao "Lailati" na "Asnati kiunofeni" ili wanipe kampani siku hiyo

Tukajipanga kabisa tukifika eneo la tukio siku hiyo hamna kuwa na huruma ya kuagiza vibia vya watoto. Nikawaambia ni mwendo wa kuagiza Heineken/Amarula/Grants+Nyamachoma kwa kwenda mbele yaani ni mwendo wa kumtumbua hadi awe na adabu.

Yote hayoo nikijua vidume vya jf vina pesa chafu. Heheeeeeee[emoji3] [emoji3] [emoji3]

"Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza wallah"

Ikafika siku ya tukio mtu tatu tumeshajipanga kwenda kumtumbua mtu hapo. Tukawasiliana eneo alilopo na wakati hayo yoote yakiendelea alikuwa hajui kama nna kampani ya rafiki zangu hivyo nilifanya kama surprise yani

Ile kufika hadi meza aliyopo jamaa macho yakamtoka huku akiwa na woga akashangaa mtu tatu zote vipi. Nikamwambia kuwa wale ni mabest zangu hivyo asihofu.

Heheeeeeiyaaaaaaaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38]

Jamaa akamwita mhudumu atuhudumie vinywaji mda huo huo akamwita na mhudumu wa jikoni na uzuri wa ile bar hawadai hela papo hapo but baada ya matumizi unaletewa bili yako ulipe

Basi mimi nikaagiza Dompo mezani, Asnati akaagiza Heineken mbili baridii mezani na lailati akaagiza Amarula huku tukisubiria nyama ya mbuzi kilo mbili kutoka jikoni.

Yaani ikawa ni mwendo wa kuagiza tu na kama kawaida watoto wa mjini hatulewagi ikawa ni mwendo wa nyama na kinywaji tu yaani funika funua

Heheeeeeee!!! Halloooooooo!!![emoji108] [emoji108]

Ilipofika mida ya usiku wa saa moja jamaa akaletewa bili yake na mhudumu na cha kushangaza ni baada ya kuisoma ile bili alitoa mimacho gafla

Baada ya kuisoma ile bili akatuomba aende kwenye ATM iliyiliyopo eneo la nje karibi na ile bar ili atoe pesa aje alipe ile bili
So nikamwambia asichelewe kurudi ili aje aturudishe nyumbani maana alisema ana usafiri

Heheeeeeeee kumbe bwana yule alituacha pale kama dhamana kumbee bili imemshindaa akaamua kuingia mitini
Bwanaa wahudumu wakaja tena kudai chao ikabidi tusiwe na lakufanya tuulizie bili yenyewe sh ngapi cuz bwana yule hata kwenye sim hakupatikana tena

Tukapewa bili ya sh 235,000 ya vinywaji vyote na vyakula. Acha macho yanitokeeee

Kwenye pochi nlikuwa na 5,000 tu ya nauli na bwana yule kashakimbia. Na mashoga zangu nao walikuwa hawana hela so meneja wa bar walinzi ikabidi watupeleke central tulale polisi hadi wadhamini waje walipe deni ili tutoke

Wanaume wa jf hasa wa dar mnatia aibu jamani

Heheeeeeeeeeee!!!!!!!!

Mxieww
Ata we we unatia aibu utatumiaje 230000 alafu una 5000. Tu at a kama ni ofa. Ukweli umejishusha nzalaa inakusumbua
 
Kazi kuteteana tu

Ndio maana nikaja na mashost zangu kuukwepa huo mtungo
We unafikiri angekulipia bili hiyo ungeachwa hivihivi ata kama mpo tim mzima lazima ungepigwa nyingi Ata hivyo ujamalizia nan alikutoa police inaonekana meneja alikufuga ukawa Kama mkewe mpaka den likaisha
 
Mara nyingi wanawake wanaofanya hvo huwa hawajielewi,na ndo mana huwa wanagongwa na kuachwa kwasababu tayar mwanzon tu wanaonesha ni watu wa matumiz tu na sio malengo. NA MTALIWA TU HAMNA NAMNA NYINGINE
 
Heheeeee[emoji3] [emoji3] halooo[emoji108] [emoji108] [emoji108]

Jana hiyoo jamaa kwa mda mreeefu alikuwa analia lia pm hapa jf nakupenda nyiingi wakati hanijui na mimi simjuii

Nikaona isiwe tabu naweza nikawa natupa almasi kwenye tundu la choo buree. Hee tukapanga tukutane bar moja hivi kwa maongezi ya hapa na pale ili atoe yake ya rohonii

Mhhh!!! Na mimi nlielewa mapema hapa ni mjini mtoto wa kike unaweza ukajipeleka hovyo hovy tena kwa mtu usie mjua ukaishia kuwekewa madawa kwenye kinywaji then ukaenda kupigwa mzigoo.

Nkasema asintaniie[emoji2] [emoji2] heheeee!! Hallooo[emoji108] [emoji108]

ikanibidi niwachukue mabest zangu wawili watoto wa kizaramo hao "Lailati" na "Asnati kiunofeni" ili wanipe kampani siku hiyo

Tukajipanga kabisa tukifika eneo la tukio siku hiyo hamna kuwa na huruma ya kuagiza vibia vya watoto. Nikawaambia ni mwendo wa kuagiza Heineken/Amarula/Grants+Nyamachoma kwa kwenda mbele yaani ni mwendo wa kumtumbua hadi awe na adabu.

Yote hayoo nikijua vidume vya jf vina pesa chafu. Heheeeeeee[emoji3] [emoji3] [emoji3]

"Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza wallah"

Ikafika siku ya tukio mtu tatu tumeshajipanga kwenda kumtumbua mtu hapo. Tukawasiliana eneo alilopo na wakati hayo yoote yakiendelea alikuwa hajui kama nna kampani ya rafiki zangu hivyo nilifanya kama surprise yani

Ile kufika hadi meza aliyopo jamaa macho yakamtoka huku akiwa na woga akashangaa mtu tatu zote vipi. Nikamwambia kuwa wale ni mabest zangu hivyo asihofu.

Heheeeeeiyaaaaaaaaaaa[emoji38] [emoji38] [emoji38]

Jamaa akamwita mhudumu atuhudumie vinywaji mda huo huo akamwita na mhudumu wa jikoni na uzuri wa ile bar hawadai hela papo hapo but baada ya matumizi unaletewa bili yako ulipe

Basi mimi nikaagiza Dompo mezani, Asnati akaagiza Heineken mbili baridii mezani na lailati akaagiza Amarula huku tukisubiria nyama ya mbuzi kilo mbili kutoka jikoni.

Yaani ikawa ni mwendo wa kuagiza tu na kama kawaida watoto wa mjini hatulewagi ikawa ni mwendo wa nyama na kinywaji tu yaani funika funua

Heheeeeeee!!! Halloooooooo!!![emoji108] [emoji108]

Ilipofika mida ya usiku wa saa moja jamaa akaletewa bili yake na mhudumu na cha kushangaza ni baada ya kuisoma ile bili alitoa mimacho gafla

Baada ya kuisoma ile bili akatuomba aende kwenye ATM iliyiliyopo eneo la nje karibi na ile bar ili atoe pesa aje alipe ile bili
So nikamwambia asichelewe kurudi ili aje aturudishe nyumbani maana alisema ana usafiri

Heheeeeeeee kumbe bwana yule alituacha pale kama dhamana kumbee bili imemshindaa akaamua kuingia mitini
Bwanaa wahudumu wakaja tena kudai chao ikabidi tusiwe na lakufanya tuulizie bili yenyewe sh ngapi cuz bwana yule hata kwenye sim hakupatikana tena

Tukapewa bili ya sh 235,000 ya vinywaji vyote na vyakula. Acha macho yanitokeeee

Kwenye pochi nlikuwa na 5,000 tu ya nauli na bwana yule kashakimbia. Na mashoga zangu nao walikuwa hawana hela so meneja wa bar walinzi ikabidi watupeleke central tulale polisi hadi wadhamini waje walipe deni ili tutoke

Wanaume wa jf hasa wa dar mnatia aibu jamani

Heheeeeeeeeeee!!!!!!!!

Mxieww

Hata mi ningewaambia mpige hivyo vinywaji muongeze maradufu mpaka bill ifike 1m then nitoroke vizuri.. waitwa mwenyewe wachukua rafiki zako sasa kama jamaa angehitaji mzigo marafiki zako wangekuwa tayari kutoa kukusaidia pengine wamekula hata zaidi yako mlengwa.. kuweni wastaarabu uzuri wa wenzetu weupe wa kule mbali wasichana wao hawakubali kulipiwa bill they do contribute bana hata umwambie unamtoa out na kama hujaalika marafiki zake hawezi kuja nao hata kidogo.. they have discipline.

Mjifunze.
 
Back
Top Bottom