kwa nini usiseme tuu kuwa uliliwa na wasamalia wema wakakusaidia kulipa bili,ilitokeaga hiyo moshi dada katumiwa nauli na jamaa,mdada kavuta na shosti wake sasa jamaa hata hakuambiwa,badae wakawa wamefika jamaa alikuwa ofisini akawaambia kama mmekuja wawili tafuteni bar yoyote muanze kupiga kinywaji,mashost wakafurahi1 kama ilivyo kawaida wakawa kama wanakomoa,kama lisaa hivi baadae jamaa kazima simu,mashost walichanganyikiwa kama mvuvi ametoboa mtumbwi katikati ya bahari,ilibidi washkaji wanosoma Mwika chuo cha wanyama pori wa clie bili wakaenda kuwapiga mtungo aka fiesta,wakawapa na nauli ya kurudia kesho