Wanaume wa JF katika tuhuma nzito ya kukimbia bili za bar

Wanaume wa JF katika tuhuma nzito ya kukimbia bili za bar

Huo sio ustaarabu. Huko ni kukomoana.

By the way mwanamke unatembea na buku 5?? Tembea nayo lkn atleast uwe na pesa ata kny simu. Ukidondosha nyanya za watu njian je?
 
Hadithi yako umejitahidi kutunga na umejaribu kuvaa uhusika wa mwanamke mchunaji asiye na akili...siamini kuwa wew unaweza fanya hivyo sababu nakuheshimu.
Ndio ww nn maana sio kwa kujishtukia huko
 
Ukipata appointment sio unaenda na mtaa mzima
 
Kama huyo jamaa angelipa hiyo bill hakika ningemuona fwala....
Hongera sana Asprin kwa kugoma kugeuzwa fwala.
 
Ata mimi ningekukimbia!!! Hayo mengine majaribu na uonevu aisee!!! [emoji23][emoji23]
Bora umesema wewe mtoto wa kike. Angesema wa kiume wangemshushua. Mtu umeitwa peke yako, iweje uende na kijiji. Maongezi mengine ni ya faragha, haina haja ya iuja na mashosti zako. Hata hivyo 235,000/- per session kwa watu watatu walikuwa anamkomoa jamaa wa JF ama?
 
Alichokifanya huyo jamaa na ambacho ningekifanya mimi tungetofautiana kidogo sana!

Mimi ningelipa bill yangu na yako ( maana wewe ulikuwa kwenye budget yangu) Halafu hao shoga zako ungewalipia wewe au wao maana wewe ndo uliwaalika!

Siwezi lipa bill kwa mtu sijamwalika!

#akilizangunazijuatumwenyewe#
 
richaabra yaan wanaume wa humu hawakomi na ww pamoja na kuja kuwaanzishia thread kila siku bado wanakutongoza tu pm [emoji23]

kingine haujafanya sawa kuwabeba mashoga zako ili iweje huo ni uswahili uliopitiliza shost hiyo ilikua n first date
 
Hii stori imetungwa ila ni kweli wanawake wa sampuli hii WAPO na hii ndio dawa yao
 
Back
Top Bottom