Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Humu kila kitu fake ni mwendo wa kulrelease stresss,sinaga muda wa kutongoza nikivutiwa na avatar yako naingia inbox kuuliza swali moja straight na ninataka jibu straight vingine ni kupotezeana mida tu.
 
Inaelekea wahanga ni wengi mno,mana vilio vinatoka kila kona.poleni sana akina dada.
 
Hahaaaaa tatizo kujichaganya flani mkuu. Sema mimi hupuuzia pm sitilii maanani wala kufatilia
Ila muda mwingine unaweza ukawa unadhani hii ID ya mtu fulani (Daby) kwa hisia fulani kumbe wala sio yeye.[sikatai hisi zako]

Muwe makini mnapo guess Id.
 
Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.

Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.

Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila Watanzania waliowengi ndiyo hao.

Ila mbona hawahawa watoto wa wakulima ndiyo wanawatongoza mitaani na mnawakubali dada zetu....


sisi wakulima wa JF tumewakosea nini?
Wa mtaani tunakuwa tumeshawajua in and out pamoja na status zao, nilikuona tu nakupotezea sasa humu JF too much uongo na kuzalilishana tu
 
Hafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno
Mi nasema ukweli mi ni bonge la ugly,C tukutana wala hautajuta.
 
Wa mtaani tunakuwa tumeshawajua in and out pamoja na status zao, nilikuona tu nakupotezea sasa humu JF too much uongo na kuzalilishana tu
Ila mbona hata mtaani vijana wanawakodishia vyumba na magari ya kuazima kisha wanaondoka!

Sisi wa JF tumewakosea nini?
 
Mimi huwa sikutani na hao matapeli Kuna sehemu za heshima za watu wanao jielewa hafu huwa staki mazoea na vijana
Ila mbona hata mtaani vijana wanawakodishia vyumba na magari ya kuazima kisha wanaondoka!

Sisi wa JF tumewakosea nini?
 
Back
Top Bottom