[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na lazima tupige picha ya pamojaWe mganga huna lolote.
Uje nionane nawe nikufungulie thread
😂😂😂,shkamoo jfMie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.
Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
Ila muda mwingine unaweza ukawa unadhani hii ID ya mtu fulani (Daby) kwa hisia fulani kumbe wala sio yeye.[sikatai hisi zako]
Muwe makini mnapo guess Id.
Kumbe mwizi akiibiwa na yeye inakuwa inamuuma eehh?😆😆Sisi wanawake tunafanya hivi kwa ajili ya kuwanasa wanaume, hasa kwa mwanaume unafanya ili iweje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Wa mtaani tunakuwa tumeshawajua in and out pamoja na status zao, nilikuona tu nakupotezea sasa humu JF too much uongo na kuzalilishana tuIla Watanzania waliowengi ndiyo hao.
Ila mbona hawahawa watoto wa wakulima ndiyo wanawatongoza mitaani na mnawakubali dada zetu....
sisi wakulima wa JF tumewakosea nini?
Oouh...Hahaaaaa tatizo kujichaganya flani mkuu. Sema mimi hupuuzia pm sitilii maanani wala kufatilia
Mi nasema ukweli mi ni bonge la ugly,C tukutana wala hautajuta.Hafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno
Ila mbona hata mtaani vijana wanawakodishia vyumba na magari ya kuazima kisha wanaondoka!Wa mtaani tunakuwa tumeshawajua in and out pamoja na status zao, nilikuona tu nakupotezea sasa humu JF too much uongo na kuzalilishana tu
Unajua sisi wanawake tunapenda sana kuambiwa ukweli wa maisha ya mwanaume.
Mie napenda sana mwanaume mkweli ila ndo kila siku naangukia pua...
Hizo lips kwa avatar ni zako?Huyo kwa avatar ndio bebez
Hizo lips kwa avatar ni zako?
Ila mbona hata mtaani vijana wanawakodishia vyumba na magari ya kuazima kisha wanaondoka!
Sisi wa JF tumewakosea nini?
Mi nasema ukweli mi ni bonge la ugly,C tukutana wala hautajuta.