Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Mimi huwa sikutani na hao matapeli Kuna sehemu za heshima za watu wanao jielewa hafu huwa staki mazoea na vijana
Sehemu gani nizijue kama hautojali.

Vijana unamaanisha kuanzia umri gani hadi umri gani?
 
Kutongozwa sio baraka ni usumbufu mkuu. Wapo wa level ya chini mpaka juu mkuu so it depends na mtu, so I prefer dating someone I know better
Oouh...

Ila kutongozwa baraka, right?

Kwa hiyo wanawake wa JF kwa namna nyingine nyie sio wa level zetu?...Mbaki kuwa mashemeji
 
Kutongozwa sio baraka ni usumbufu mkuu. Wapo wa level ya chini mpaka juu mkuu so it depends na mtu, so I prefer dating someone I know better
Anyway , that's how you programmed your brain....
 
Naona Kuna mtu anatafutwa hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…