Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Ila mbona hata mtaani vijana wanawakodishia vyumba na magari ya kuazima kisha wanaondoka!

Sisi wa JF tumewakosea nini?
Kijana naona unatuwakilisha vizuri. Eti inawezekanaje nguvu huna na mkwara pia ukose?
 
Hafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno
Hvi sisi tusio ma handsome tuna nafasi gani katika Jamii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…