Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
HahahhahahahaaaaaaAnaitwa siasa...
Kuna mdada wa JF anaitwa mama mkubwa alikutana na mwanamme anapua kubwa haienei kwenye camera..
Hahaha... Wabongo bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahhahahahaaaaaaAnaitwa siasa...
Kuna mdada wa JF anaitwa mama mkubwa alikutana na mwanamme anapua kubwa haienei kwenye camera..
Hahaha... Wabongo bhana.
We acha tu.Nimeona sehemu mleta uzi anasema unakaa kwenye boda boda hadi makalio yanauma. 😂😂😂
Umevaa miwani umeyazibaTafuta thread ya 3/12/2018 utaona photo
Umevaa miwani umeyaziba
Ha haaa hayaa[emoji876][emoji165] nikivua nitakutag [emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana naona unatuwakilisha vizuri. Eti inawezekanaje nguvu huna na mkwara pia ukose?Ila mbona hata mtaani vijana wanawakodishia vyumba na magari ya kuazima kisha wanaondoka!
Sisi wa JF tumewakosea nini?
Hii ni win-lose game... au Duck duck goose....Kijana naona unatuwakilisha vizuri. Eti inawezekanaje nguvu huna na mkwara pia ukose?
Ha ha ha ha....mbaya unapogegedwa baadae unashtuka kumbe mikwara tu hamna kitu hapa..Hii ni win-lose game... au Duck duck goose....
boya ndiye anabebeshwa kopo.
HahahahaahHili swali kuntu,naomba nifunge mdomo,siri yng
Weee madame😄😄😄Hahahahaah
Njoo basi hata na Id fake ujibu jamani
Ila angalau leo Da Jane kaongea balaa,na sisi leo tumepumzika maana kila siku tunasemwa sisi tuWeee madame😄😄😄
Hahaha umenifurahisha sana mkuuItabidi na sisi wanaume tuanze kudanga tunapauka saana.
Wewe mtuMiezi sina mbabe mbona..
Ahahaaa hivi madam c ile ya kunywa mkojo ndo ikoje.nataka nimywee MTU mkojoHahajaja
Kuna mganga yuko Msumbiji, anatibu kwa njia ya wasap.
Jamani waganga hawa wanaleta hekaheka mjini hapa
Hvi sisi tusio ma handsome tuna nafasi gani katika JamiiHafu humu JF kila mwanaume ni handsome wakianza kuponda wanawake sasa, kumbe wamechoka na maisha hawana mbele wala nyuma, bora mie cariha wa kawaida nadanga zangu siwezi kupauka kiasi hicho. Mimi ndo mana kukutana na mwana jf naona ugumu mno