Two dimension array
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 1,592
- 2,381
Wanaume wa kueleweka wapo jukwaa la siasa huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu.Hahaaaaa huyo anayejua kila mtu kiboko Ana tatizo, sasa yeye amekuja humu forum kufatilia ya watu au mambo yake. Huyo aliyeumbuliwa na hamu nimjue. Wanaume wambeya inabidi sie wanawake tuwakatie visimi vyetu waviweke mbele. Maana wamezidi
Ushindwe na ulegeeDooh!!akikukimbia karibu madame..
Nakusubiri
Shetani ashindwe kabisa,mvumilivu bila mbivu..Ushindwe na ulegee
Kuna mmoja alinitongoza ila akaniambia alishamgegeda flani flani flani humu.Hahaaaaa huyo anayejua kila mtu kiboko Ana tatizo, sasa yeye amekuja humu forum kufatilia ya watu au mambo yake. Huyo aliyeumbuliwa na hamu nimjue. Wanaume wambeya inabidi sie wanawake tuwakatie visimi vyetu waviweke mbele. Maana wamezidi
Kuna mmoja alinitongoza ila akaniambia alishamgegeda flani flani flani humu.
Akaenda kwingine kutongoza akaniweka kwenye list loh huyo mwanamke sijui alukopwa ***** ananichukia huyo sema mie huwa namshangaa tu mi sio mtu wa mabeef as long maisha yangu yanafanikiwa.unamchukia mwanamke mwenzako hata hujui wala hakuhusu kweli?
Umeongea ya maana sanaJF hapa ni mtandaoni; na mtandaoni (na pengine popote pale) akili za kuambiwa inabidi uchanganye na zako. Watu wengi waliofanikiwa (na wanaojielewa) mara nyingi huwa hawajitapi wala kujivuna. Nafahamu brothers na sisters wachache humu wako vizuri sana kimaisha lakini huwezi kuwasikia wakijinadi mafanikio yao popote pale. Ukiona mtu anajitapa hovyo chukulia hilo kama onyo kwako.
Naamini kuwa JF hapa kuna akina kaka na mabinti wanaojielewa sana kama utakuwa mvumilivu na wewe mwenyewe kuelewa unachotaka. Binafsi nimebahatika kupata binti wa pekee sana, msomi, mwenye pesa zake, rafiki na binadamu mwenye ubinadamu uliotukuka. Lakini imenichukua muda mrefu sana kuweza kumwelewa sawa sawa kwa sababu kama nilivyosema hapo juu, mtu mwenye uwezo na anayejielewa huwa hajitapi wala kujivuna. Mpaka siku naonana naye tulibaki tu tunatazamana na kushangaana. Na sasa tumekuwa marafiki wa kweli kabisa kabisa. Maajabu !!!
Jua kwanza unachokitafuta. Kisha uvumilie na usiwe na papara. Ikibidi mshirikishe Mungu kama uko siriazi. Lakini kama unatafuta mtu wa kugegedana naye basi uwe open kwa kila kiumbe utakachokikuta kwenye kokoro lako.
Nahamia mtaani kwenuHuyo hakufai yani anawatangaza alio wavua chupi, ukijiloga na wewe anaweza kukutangaza. He is not matured enough aisee, acha papuchi yangu niigawe mtaani mtu unampa papa na nyege zake anakutangaza.
Huyo dada kakosea kukuchunia kisa mwanaume, mimi siwezi gombana na mwanamke mwenzangu kisa mwanaume
mhHahaaaaa yani humu JF mtu ajifanya akuoenda mkikutana anakuja kukutangaza eti pua kubwa inajaa camera
Asante [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Umeongea ya maana sana
Kuanzia kesho huo mtaa wako ukiona vijana kutoka JF wanamiminika kuhamia usije ukakimbilia humu kuanzisha uzi aisee [emoji16][emoji16][emoji16]Huyo hakufai yani anawatangaza alio wavua chupi, ukijiloga na wewe anaweza kukutangaza. He is not matured enough aisee, acha papuchi yangu niigawe mtaani mtu unampa papa na nyege zake anakutangaza.
Huyo dada kakosea kukuchunia kisa mwanaume, mimi siwezi gombana na mwanamke mwenzangu kisa mwanaume