Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Hahaaaaa huyo anayejua kila mtu kiboko Ana tatizo, sasa yeye amekuja humu forum kufatilia ya watu au mambo yake. Huyo aliyeumbuliwa na hamu nimjue. Wanaume wambeya inabidi sie wanawake tuwakatie visimi vyetu waviweke mbele. Maana wamezidi
Acha tu.
Humu wanaume wote nawaona sawa tu.
I'd fake na hata maisha yao fake tu.
Huyo jamaa yupo humu nimemuona kule mwanzoni
 
Humu pana utamu Leo. Ila sijawai feki life ata sikumoja ukiniona ndivyo nlivyo
 
Hahaaaaa huyo anayejua kila mtu kiboko Ana tatizo, sasa yeye amekuja humu forum kufatilia ya watu au mambo yake. Huyo aliyeumbuliwa na hamu nimjue. Wanaume wambeya inabidi sie wanawake tuwakatie visimi vyetu waviweke mbele. Maana wamezidi
Kuna mmoja alinitongoza ila akaniambia alishamgegeda flani flani flani humu.
Akaenda kwingine kutongoza akaniweka kwenye list loh huyo mwanamke sijui alukopwa ***** ananichukia huyo sema mie huwa namshangaa tu mi sio mtu wa mabeef as long maisha yangu yanafanikiwa.unamchukia mwanamke mwenzako hata hujui wala hakuhusu kweli?
 
Huyo hakufai yani anawatangaza alio wavua chupi, ukijiloga na wewe anaweza kukutangaza. He is not matured enough aisee, acha papuchi yangu niigawe mtaani mtu unampa papa na nyege zake anakutangaza.

Huyo dada kakosea kukuchunia kisa mwanaume, mimi siwezi gombana na mwanamke mwenzangu kisa mwanaume
 
Umeongea ya maana sana
 
Nahamia mtaani kwenu
 
Kuanzia kesho huo mtaa wako ukiona vijana kutoka JF wanamiminika kuhamia usije ukakimbilia humu kuanzisha uzi aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…