Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Are you dating?
 
Hahaha mpee hii hash tag #amkainakusubiridunia
 
Mkuu naomba ujifundishe kuongea uongo mtupu kwa wanawake, itakusaidia utawapata kirahisi bila kutumia nguvu nyingi.

Usijisikie vibaya kumwambia uongo mpk unajiskia vibaya jinsi unavyomdanganya.
Yani hapo ndo anafurahi unamweleza ukweli.
Hahaha....

Ngoja nianze kujifunza.

-Ninamiliki maduka 4 ya € Arusha makao mapya.

-Nina kampuni kubwa nne za usafirishaji na utalii.

-Nisaidie kuwaambia warembo nimechoka kwa kazi sekretari wangu atawatumia pesa sekunde chache zijazo.....

Hahaha....Mzee baba sifananii.
 
Hahah huyo jamaa ningekuwa nae karibu ningekuwa nacheka sana maana wana story sana wazee wa kabobo!
 
Shikamoo sugu
 
Sijawai kuona mwanamke aliekosa vyote yaani sura ,umbo ,tako au mguu
So unataka kuniambia wanawake wa jf ni ziro ziro ahahaaa pole zetu maskini sie
 
Hahahahahahahaa. Ila wewe hunaga akili. Eti ya usumbufu wako. Hahahahaha.
 

Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…