Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Kabla hujafanya maamuzi ya kukutana na MTU itabidi usome mwandiko wake vizuri.
Kwa mfano Mimi na mwandiko wangu huu mbaya sipati nafasi ya kukutana na Agata Edward
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla hujafanya maamuzi ya kukutana na MTU itabidi usome mwandiko wake vizuri.
Are you dating?Napenda Kuwa na marafiki waliozidi kila kitu had dhambi mkuu, na siwezi kuzoeana na watu waongea pumba kwanza nakuwa kimya zangu.
So ndo nilivo life style langu na wala sijawahi gombana na mtu mie I'm always cool with my life. Ni vile to our society is judgemental so I don't care about what people think about me. Kwanza had tu gombane nikishakujua tabia zako nakiweka mbali. Mi marafiki zangu ni watu tunaoendana tabia na mitizamo
Oouh...harakati zako au zake?
😀😀Hapo ndo utaharibu.mtu anacoment kwenye nyuzi za magari tu kumbe hata mkokoteni hajui kuendesha sembuse kumiliki
#amkainakusubiriduniaKulingana akilia au elimu?
Anyway,
Naliona tatizo kwako zaidi kuliko kueleza matatizo ya wengine.
Maisha ni rahisi sana, hayahitaji kuwa serious sana.
Utagombana na watu wengi km utajiona wewe ni very special.
Twahitaji kuwa watu bora, ila tusipende kuonesha kuwa sisi bora.
Hahaha....Mkuu naomba ujifundishe kuongea uongo mtupu kwa wanawake, itakusaidia utawapata kirahisi bila kutumia nguvu nyingi.
Usijisikie vibaya kumwambia uongo mpk unajiskia vibaya jinsi unavyomdanganya.
Yani hapo ndo anafurahi unamweleza ukweli.
Nausoma vizuri hapa 😀Kwa mfano Mimi na mwandiko wangu huu mbaya sipati nafasi ya kukutana na Agata Edward
Hahah huyo jamaa ningekuwa nae karibu ningekuwa nacheka sana maana wana story sana wazee wa kabobo!Exactly jamaa anawaita vikongwe...akimtengenezea mazingira Demu hachomoki na akifeli ni ASILIMIA Chache Sana.anasema ameingia kwenye mdomo WA mamba.ana visa KIBAO sema kuandika hapa ndo tatizo...siku hiyo anameet na Demu alivaa kitambulisho fake akakigeuza vile vya shingoni...
Oouh....sawa sawa...Nakupata vizuri ujue.Harakati zake nafikiri
Shikamoo suguDuh we kweli balaa zito,yaani kila mwanaume anayekuvutia ki-CV lazima mtafutane muonane ili myajenge
Inavyoonekana unashoboka sana na mijitu yenye CV zilizoshiba eeeeeh,manake si kwa kukutana nao huko,wangekuwa na CV bomba kama walivyojinasibu inavyoonekana wote wangekupitia
Mwisho na wewe acha kuwa mshobokaji,hivyo tu
Sijawai kuona mwanamke aliekosa vyote yaani sura ,umbo ,tako au mguuSasa hili ndo nilikua nalitaka.
Mwambien sasa mtoa mada ,mwanamke mwenzako kua TUVUMILIANE.
Kinyume nahapo..wakat wanaume wanasemwa hawana pesa sijui elimu sijui n.k n.k.... Nanyie mjijue kua Hamna sura nzur, wala hamna makalio ,wala hamna miguu ilojaa, wala hamna maumbo mazuri mazuri kwaufupi na nyie ni Wabovu. Kiuno hakieleweki kiko wapi, mgongo haujulikan.
Mnashangaza sana.....sasa niivi mwanamke LAZIMA UWE MZURI .
Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
miminimkulimaakachekasana
Shida ilianzia hapa, Madem wa JF wote mnajitia wazuri kumbe hamna kitu.
Wote mnajitia mnakazi nzuri, biashara, kumbe hamna kitu
Wote mnajitia mnanyumba /mmepanga Apartment ..kumbe Hamna kitu.
Sasa ,kikawaida, Ukitaka kumfanya Malikia Akupende. Inabidi uishi kifalme .
Ndio sababu, Wanaume pia wameamua kuwaishi ivo sababu, mnapenda mapicha mapicha.
Na niseme tu ukweli huu....WENGI HUMU MMEGONGWA PASIPO HATA KUTARAJIA KAMA UNGEGONGWA NA MUHUNI ASOKUA NAKITU ISIPOKUA ULIPENDA MAPICHA MAPICHA YAKAKUINGIZA MJINI.
Mwisho mmeishia
[emoji117]Kubadili ID
[emoji117]kupunguza kasi ya uchangiaji
[emoji117]kuwachukia watu bila sababu
[emoji117]msobadili ID ,mmejikuta mnachat humu lkn Uku unajistukia stukia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
VUMILIENI.....NA MTAENDELEA KUGONGWA TU .
Maana yake usiwaze mama hamna tatizoHahaaa, hapo umeniacha Baba, nimeprint lkn sijaelewa chochote[emoji3]
Si kweli bado hujakutana nasi wachaga wa RomboIla wachagga wengi huwa ni mahandsome wewe muongo. Hakunaga mchaga mubaya
Oouh....sawa sawa...Nakupata vizuri ujue.