Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Sisi na ubovu wetu twatongozwa pia twadanga hapa na pale uzuri wa mwanamke machine na kujielewa basi, mbona uzuri wa gari engine
 
Shikamoo sugu

Agataaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Hiyo ni avatar tu sio sugu mimi kwani ni role model wangu huyo msela

Namkubali sana huyo jamaa kwa hustle alizopitia hadi hapa alipo sasa
 
hahahaha sema jamaa aliye kudanganya ana miliki kampuni 2 alikuweza hahahaha kakufunua kuja kushtuka anamiliki mbupu tu.

alafu ulivyo sema unampenda kivipi yaani ikiwa hujawahi muona zaidi ya kupenda mafanikio yake.


naunga mkono uongo uendelee hadi wanyooke
 
Bibie nazungumza na wewe,
Achana na wengine.

Sinaga tatizo na mtu humu, na hata akitokea mtu kunikwaza nachukulia poa kwakua sitakagi kuweka virusi kichwani.

Napenda kufurahia maisha haya mafupi,
Nyie mkitofautiana opinion huanza stress, single mom sijui nini aaargh leo na mood ya ku comment
 
Sisi na ubovu wetu twatongozwa pia twadanga hapa na pale uzuri wa mwanamke machine na kujielewa basi, mbona uzuri wa gari engine
Kabisaa.
Engine ndio inayotembeza gari na sio body.
Sura kama kachumbari tu (kajisemea wii sweetlee).
Kama hawataki, watufunike na shuka usoni afu waendelee na shughuli
 
Mtoa mada naona ume kutana na wengi kweli..... njoo tukutane na mimi uje uweke CV hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…