agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Nilishaandaa mashambuliziUlitaka unidangie nn kama shobo za mleta mada kwa wenye CV kubwa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishaandaa mashambuliziUlitaka unidangie nn kama shobo za mleta mada kwa wenye CV kubwa???
Kwa hii nimefungua kodi kirahisi kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo boya wa Arusha alikua anajifanya anamjua kila mtu akiotea picha yako anatambishia kwa watu anakujua
Jamaa lenyewe linajidai linyarwanda
Sikuwahi kujua kama huwa anasambaza picha za watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaa aisee mbona anatabia za kijinga hivi au ni hanisi sasa anaringishia picha za watu Ili Iweje huo sasa ni utoto usio na kifani. Sasa unywaranda nao ni deal jamani hahaaaaa jamii forum Kuna mambo walah aache utoto jamani. Na hamu nimjue mana tabia za kishoga kishoga hzo
😂😂😂😂😂😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo Jamaa wa arusha ulomsema mi namjua sana ana fix Hugo.aliniambia nimtumie account ya dola.daah nikamuambia me sitaki hela yako bna.
Tukakaa akajisahau akaniambia anaomba nimkopeshe elfu 50 nikamuambia anitumie account ya euro.
Kabadili ID mpenzi.Alikua maarufu sana humu
Sijui kabadili Id!
Hata mi nishamjua [emoji23][emoji23]Kabadili ID mpenzi.
Nimependa Avatar yako so naanza na wewe bibieKila LA kheri ulete mrejesho
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji187][emoji187][emoji187]na wewe bado unamsubiria labda[emoji932][emoji932][emoji932][emoji932][emoji932]Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Hahahaaa nipe herufi hata moja [emoji23][emoji23][emoji23]Hata mi nishamjua [emoji23][emoji23]
Kwahiyo ulishameet nae ukauona uzuri wakeHahahhha
Akija najisaidia mafungu mafungu mpaka kwetu Lushoto.
Huwa najiuliza ni wangapi anaowapa uongo kama huu?
Wangapi wameingia kwenye 18 zake na akawalala kwa sytle hii?
Ila yule kaka mzuri sana ila aache kufake life.
Huyo boya wa Arusha alikua anajifanya anamjua kila mtu akiotea picha yako anatambishia kwa watu anakujua
Jamaa lenyewe linajidai linyarwanda
Haha haha msitujumuishe wote bhanaMakaka wa arusha acheni utapeli mnawashinda wanaume wa Dar eti. Hahaaaaa jamani leo na furaha sana