Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Sikuwahi kujua kama huwa anasambaza picha za watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo Jamaa wa arusha ulomsema mi namjua sana ana fix Hugo.aliniambia nimtumie account ya dola.daah nikamuambia me sitaki hela yako bna.
Tukakaa akajisahau akaniambia anaomba nimkopeshe elfu 50 nikamuambia anitumie account ya euro.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulimkomesha.
Ila nimeshamjua ila ni mkopaji na mlipaji mzuri tu.
 
Uongo si jambo jema Kama mtu hakukubali atapatikana anaekukubali.
Vijana Bado tunatafuta maisha mtuvumilie.
 
Mda mwingine najikuta namshukuru Sana mungu wangu kwa kunipa roho ya kujituliza maana mengine yanauma Sana apa sisi asilimia 90 wamepatwa na nyuzi hii I'll bwana mda mwingine mi mnanikera mnaojisifia neno chura wakati tunalilia wembambanwengine yaani chura yoyote simtaki mi ata kwenye kusaport nyuz zangu jamni[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Mama Sabrina namkubaligi Sana katika online popote pale hivi eti ntampataje embu wanna jf mshaurini Ani pm maana mi kumshobokeaga guy mda mwingine najuta
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji187][emoji187][emoji187]na wewe bado unamsubiria labda[emoji932][emoji932][emoji932][emoji932][emoji932]
 
Hapa najiuliza ntaipandishaje tena CV yangu.???

Ngoja nipaki BMW yangu nisome comment vizuri maana iPhone bila cover huwa zinateleza siwezi endesha gari vizuri.

Though, Machalii wa chuGa tumewamanya.
 
Da Jane ina maana umekutana na wanaume sampuli zote hizo wa Jf? Hapo bado wa mtaani Kwako, kazini na fb. Khaaaa, hata kama kudanga, hii ni soooo
 
Hahahhha
Akija najisaidia mafungu mafungu mpaka kwetu Lushoto.
Huwa najiuliza ni wangapi anaowapa uongo kama huu?
Wangapi wameingia kwenye 18 zake na akawalala kwa sytle hii?

Ila yule kaka mzuri sana ila aache kufake life.
Kwahiyo ulishameet nae ukauona uzuri wake
 
Inaonekana huyu jamaa yetu wa chuga amewatafuna sana
Huyo boya wa Arusha alikua anajifanya anamjua kila mtu akiotea picha yako anatambishia kwa watu anakujua

Jamaa lenyewe linajidai linyarwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…