Bahati njoo uchukue kwangu hapa, ila ukija njoo na nauli ya kurudia na hela yako ya kinywaji maana baadae usije nifungulia uzi hapa JF nimefeki life, I'm real
Hamna tatizo.Kwani kuna tatizo?
HahahahahhaAhaàa alikuambia nilitaka ticket ya ndege?
Simple ndo yukoje [emoji3][emoji3][emoji3], unavituko sana wewe?Ahahaaa mi nilimkataa bna mtu Simjui nimpeleke wapi halafu Mimi ataniweza basi me napenda mwanaume simple.ila last time aliniambia amekuoa eti.kumbe umemkimbia? Sio fair bna.
Rudi kwa mume wewe.mume ana PhD yule.yuko wapi siku hizi?Hahahahahha
Wewe nimekuita hujaja unataka nikufanyeje sasa?Simple ndo yukoje [emoji3][emoji3][emoji3], unavituko sana wewe?
AhahaaaBahati njoo uchukue kwangu hapa, ila ukija njoo na nauli ya kurudia na hela yako ya kinywaji maana baadae usije nifungulia uzi hapa JF nimefeki life, I'm real
Hu hu hu huuHahahaahah....bilionea mchezo.
Nani anataka adhabu ya kulala bila chupi?
Hata nawe nasikia alitaka kukuoa...mliishia wapi?
Nasikia mpaka kwao alikutambulisha, Jf raha sana jamani
Huyu si ndo ambae umemmwaga jamani amaWe amuoe nani?
Akha! Bado nadanga kwanza.
Unajua unanichanganya.
Kakuacha au umemuacha?
Ila uache kupenda pesa unaona sasa umekosa ndoa na mwanaume.
Hv si analingana na baba yako yule kiumri au naona vibaya?
HahahahaRudi kwa mume wewe.mume ana PhD yule.yuko wapi siku hizi?
Wala..huyu mwingine.Huyu si ndo ambae umemmwaga jamani ama
Wanazungumziwa watu wawili tofautiUshaambiwa ana marika yote!
Kijana yeye mzee yeye
UshachelewaNimependa Avatar yako so naanza na wewe bibie
Ahahahahhaha
Angekula raha za dunia walahi.hivi yule Jamaa huwa ana mpunga kweli au fix?
Wewe dogo upo? Ni mtu mmoja anajibadili kutokana Na mazingiraWanazungumziwa watu wawili tofauti
Unisamehe mimi, haikuwa dhamira yangu..Wewe nimekuita hujaja unataka nikufanyeje sasa?
Anao, kiukweli mie alikuwa ananihudumia sana kwa muda mfupi tuliojuana.Angekula raha za dunia walahi.hivi yule Jamaa huwa ana mpunga kweli au fix?
Wanazungumziwa watu wawili tofauti
Tatizo huku utoto mwingi ndo maana napenda wazeeUnisamehe mimi, haikuwa dhamira yangu..