Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Bahati njoo uchukue kwangu hapa, ila ukija njoo na nauli ya kurudia na hela yako ya kinywaji maana baadae usije nifungulia uzi hapa JF nimefeki life, I'm real

Sijaomba kukutana
Nimewasifu waliowahi kukutana
 
Ahahaaa mi nilimkataa bna mtu Simjui nimpeleke wapi halafu Mimi ataniweza basi me napenda mwanaume simple.ila last time aliniambia amekuoa eti.kumbe umemkimbia? Sio fair bna.
Simple ndo yukoje [emoji3][emoji3][emoji3], unavituko sana wewe?
 
Rudi kwa mume wewe.mume ana PhD yule.yuko wapi siku hizi?
Hahahaha
Jamani, mie siwezi aisee.
Nimeamua kukuachia nafasi yako.

Yupo na huenda anasoma hapa.
Jamaa anatoa ratiba ya vyakula atakavyokula ndani ya nyumba siku akija kunioa.
 
Angekula raha za dunia walahi.hivi yule Jamaa huwa ana mpunga kweli au fix?
Anao, kiukweli mie alikuwa ananihudumia sana kwa muda mfupi tuliojuana.
Na kuna wakati nilienda Arusha nikamwambia aje Silver hotel nilikofikia.
Hahahaaa.....ati akatuma mpelelezi aje kunichunguza.
Matokeo yake nikaishia kudate na mpelelezi na hoteli akalipia yeye.
Cc: Arushaone, Filipo na Masai (tajiri wa madini) mnakumbuka ile siku?

Mpunga anao...rudi ngamani tu
 
Back
Top Bottom