Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Kama umewaka kunjua roho ndo nimeelewa. Mengine naendelea kuyatafakari mpenzi wangu
Hahah usijali mpenzi wangu, sometime turbo ya mtaa ikifunguka huwa tafrani...wahuni huwa tuna Flex. Ntakufundisha kitu bunny don't sweat it thalia!!!
 
Now I know. Ila mbona nimeonana na watu hatujakulana? watakua wazembe eeh kama hawatimizi nia zao
Well inategemea na mtu gani una meet nae mpenzi wangu na ana dhamira gani, but from what i see majority intention huwa hio tho getting laid isn't neccessary, im a person who likes letting things slide!
 
Inasikitisha sana...

Hao uliyokutana nao watabadili ID sasa hivi waje kukushambulia...

Its true, its good to be real, you live happily...


Cc: mahondaw
 
hahahaha jmn wenye vigimbi oyeeee.Watu na magimbi hayo wakachemshe tu.Watu wanapenda fake life cjui inawasaidia nini.
 
Njia zinazotumika kuwakutanisha n zipi na mimi nipite maana nimedanganya mnoo na bdo sikutani na mmoja pm
 
Back
Top Bottom