Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,075
- 1,466
Yani wewe @MissNatafuta mara nyingi huwa unafanya nicheke kila nikiona thread au reply yako [emoji3]Wewe mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani wewe @MissNatafuta mara nyingi huwa unafanya nicheke kila nikiona thread au reply yako [emoji3]Wewe mtu
Hivi una gari au treni?Yani wewe @MissNatafuta mara nyingi huwa unafanya nicheke kila nikiona thread au reply yako [emoji3]
Ila ni aibu sana mwanaume kujifanya una gari au nyumba while hauna.JF hapa ni mtandaoni; na mtandaoni (na pengine popote pale) akili za kuambiwa inabidi uchanganye na zako. Watu wengi waliofanikiwa (na wanaojielewa) mara nyingi huwa hawajitapi wala kujivuna. Nafahamu brothers na sisters wachache humu wako vizuri sana kimaisha lakini huwezi kuwasikia wakijinadi mafanikio yao popote pale. Ukiona mtu anajitapa hovyo chukulia hilo kama onyo kwako.
Naamini kuwa JF hapa kuna akina kaka na mabinti wanaojielewa sana kama utakuwa mvumilivu na wewe mwenyewe kuelewa unachotaka. Binafsi nimebahatika kupata binti wa pekee sana, msomi, mwenye pesa zake, rafiki na binadamu mwenye ubinadamu uliotukuka. Lakini imenichukua muda mrefu sana kuweza kumwelewa sawa sawa kwa sababu kama nilivyosema hapo juu, mtu mwenye uwezo na anayejielewa huwa hajitapi wala kujivuna. Mpaka siku naonana naye tulibaki tu tunatazamana na kushangaana. Na sasa tumekuwa marafiki wa kweli kabisa kabisa. Maajabu !!!
Jua kwanza unachokitafuta. Kisha uvumilie na usiwe na papara. Ikibidi mshirikishe Mungu kama uko siriazi. Lakini kama unatafuta mtu wa kugegedana naye basi uwe open kwa kila kiumbe utakachokikuta kwenye kokoro lako.
Hivi una gari au treni?
Huyo Jamaa wa arusha ulomsema mi namjua sana ana fix Hugo.aliniambia nimtumie account ya dola.daah nikamuambia me sitaki hela yako bna.Hahajaja
Kuna mganga yuko Msumbiji, anatibu kwa njia ya wasap.
Jamani waganga hawa wanaleta hekaheka mjini hapa
Mkuu....Huyo Jamaa wa arusha ulomsema mi namjua sana ana fix Hugo.aliniambia nimtumie account ya dola.daah nikamuambia me sitaki hela yako bna.
Tukakaa akajisahau akaniambia anaomba nimkopeshe elfu 50 nikamuambia anitumie account ya euro.
Inaonesha wewe ni mmoja waoNina sifa moja tu hapa.
Ahsante kwa kuitaja
Mkuu umezungumza vyema sana,na ndio ukweli huo!JF hapa ni mtandaoni; na mtandaoni (na pengine popote pale) akili za kuambiwa inabidi uchanganye na zako. Watu wengi waliofanikiwa (na wanaojielewa) mara nyingi huwa hawajitapi wala kujivuna. Nafahamu brothers na sisters wachache humu wako vizuri sana kimaisha lakini huwezi kuwasikia wakijinadi mafanikio yao popote pale. Ukiona mtu anajitapa hovyo chukulia hilo kama onyo kwako.
Naamini kuwa JF hapa kuna akina kaka na mabinti wanaojielewa sana kama utakuwa mvumilivu na wewe mwenyewe kuelewa unachotaka. Binafsi nimebahatika kupata binti wa pekee sana, msomi, mwenye pesa zake, rafiki na binadamu mwenye ubinadamu uliotukuka. Lakini imenichukua muda mrefu sana kuweza kumwelewa sawa sawa kwa sababu kama nilivyosema hapo juu, mtu mwenye uwezo na anayejielewa huwa hajitapi wala kujivuna. Mpaka siku naonana naye tulibaki tu tunatazamana na kushangaana. Na sasa tumekuwa marafiki wa kweli kabisa kabisa. Maajabu !!!
Jua kwanza unachokitafuta. Kisha uvumilie na usiwe na papara. Ikibidi mshirikishe Mungu kama uko siriazi. Lakini kama unatafuta mtu wa kugegedana naye basi uwe open kwa kila kiumbe utakachokikuta kwenye kokoro lako.
Hvi sisi tusio ma handsome tuna nafasi gani katika Jamii
Hahaaaaa usikute ni tapeli huyo. Mie Kuna wachuga Ana swagga hizo hizo. EeehHuyo Jamaa wa arusha ulomsema mi namjua sana ana fix Hugo.aliniambia nimtumie account ya dola.daah nikamuambia me sitaki hela yako bna.
Tukakaa akajisahau akaniambia anaomba nimkopeshe elfu 50 nikamuambia anitumie account ya euro.
Afu unajua mwanaume kuwa mmbea ni kipaji kigumu sana.
Fake I'd ziko kibao na kila siku zinaibuka mpya.
Inabidi tuanze kukariri miandilo ya wanaotujia pm
Humu kapuku mimi tu JF the rest ni mabilioneaUnaona sasa watu tupo siriasi,wewe unaleta blahblah.
Duh kazi zipi sasa hzo???Kujishughulisha auMwanaume hasifiwi sura anasifiwa kazi kazi tu.
Anyway , that's how you programmed your brain....