Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

Kweli Hamorapa anajulukana,huyo HB kusikia kuwa sisi wanajf wakiume tunafanana na Rapa boy ndo kamaind hivyo angali yupo kwa Tramp!
Yes halaf la ukweli nilifurahia alivyonimaind kiukweli
 
..... ....."
Kwa "advertisement" hii uliyoifanya, nagundua kwamba kwanini mwanaume mmoja anaweza akajikuta anatembea na marafiki wote wa mpenzi wake...

Maana si kwa kumsifia huko aiseeeh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…