paka hotel
JF-Expert Member
- Feb 2, 2018
- 314
- 405
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Hapana nilienda sehemi tu nikanyonywa k vya kutosha basi nikarudi home kulala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Hapana nilienda sehemi tu nikanyonywa k vya kutosha basi nikarudi home kulala
Mama Sabrina mbona unataka kuniharibia kwa rafiki ake Sakayo? Mimi bwana kwa Trump nimempata lini? Kwanza niko singo mwaka wa 5 huu usiniharibieHahaha
Mama Sabrina kasema unae babe yuko kwa Trump bhanaaa!!!
MmmhMie sipendi mahandsome ningeshamchukuaaaa!!!
Yes halaf la ukweli nilifurahia alivyonimaind kiukweliKweli Hamorapa anajulukana,huyo HB kusikia kuwa sisi wanajf wakiume tunafanana na Rapa boy ndo kamaind hivyo angali yupo kwa Tramp!
HahahaNimjue tu dada jaman
Sawa mimi siyo handsome ila zawadi ya kudumu kwa mwanamke ni kubarikiwa chura!![emoji30][emoji30][emoji30]Huwezi kumfikia we endelea na machura yako tu
Sasa si ungetangaza tendaHapana nilienda sehemi tu nikanyonywa k vya kutosha basi nikarudi home kulala
Kweli?sijawah muona aiseeAnatukana mno
Huna akili ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwanza hujamaliza story baada ya kufanyiwa hivyo ikawaje?Hapana nilienda sehemi tu nikanyonywa k vya kutosha basi nikarudi home kulala
Ebu niambie basi ni nani jamanEndelea kubishaaaa
Sakayo anaanza na id ipi kama wamjua taja herufi!Hahaha
Shunie.... Sijui nianzie waaaapi
Nimekusubiri kule mpaka basiNipo mkuu.
Sasa unaogopa nini jaman na huwezi kuibiwaHapana sijawah kuibiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaHapana. Huku ndio ninakolima Matikiti
Bongo hapatakiNitajie embu hao watu mpenzi. Na mie nataka bwana kwa trump labda atanibeba anihamishie huko [emoji2][emoji2]
Kakako hataki salamuKuna nini tena jaman
Kwani we ni muhandsomeMmmh
....."Nilifungua ule uzi wa kuwasimanga kama kawaida yenu mnavyotusimanga wanawake wa jf,,wengine mapovu ya uhakika halaf hata nguo chafu sina,niliyaoga tu hakuna namna.
Siku hiyo kuna mwanaume akanifata akaniambia kweli mama Sabrina sisi tunafanana na hamorapa kweli?.akarudia tena kweli??mbona we mwanamke upo hivyo ,kiukweli kuitazama ile id ni ya muda mrefu tu ila kaka watu hapendi kupost anasoma tu basi, nikamuambia ni utani tu wala usijali kabisa ndio akanielewa ,maana aliongea kihuzuni kweli kama angekuwa karibu hata ningempa ziwa anyonye tu yaan kaongea kiupole na kihuruma kweli haamini jomoniiii....."
"Lahaulaa!!!!yule mwanaume maana sio mvulana akanitumia picha yake wallah nikadata ghafla nikastak kwa muda hivi ,mwanaume ana rangi ya dhahabu yule anang'aa sikuamini Yailah!!!! mpaka nikajikuta nimetoa namba hata bila kuombwa ,ana macho mazuri,pua ndefu,midomo ya kulamba lips zake tamu kiukweli[emoji8][emoji8]
Nikasema kumbe jf hawavumi lakin..."
..."(Sitomtaja jina kabisa kwa hiyo sitegemei kuulizwa jina)
Na leo mkitoa mapovu nimewasifia mtanitambua wiki ijayo[emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaMama Sabrina mbona unataka kuniharibia kwa rafiki ake Sakayo? Mimi bwana kwa Trump nimempata lini? Kwanza niko singo mwaka wa 5 huu usiniharibie