SawaWengi tu hawachangii na wako Us
Ha ha ha ha hii shikamoo ina namna nmegoma kuipokeaShkamoo kakake shunie
Naamini sio yeye haki tena naaminiSawa
Amini hilo tuu
Ehahaha sio yeyey nabishaMie sipendi mahandsome ningeshamchukuaaaa!!!
Swadaktaaaaa....unafaa sana dunia ya leoSawa zedudu,usitupangie ya chumbani tutapitisha kadri vitu vinavyopanuka
7%,huyo kaka kaniambia anapenda flat screen[emoji23][emoji23] mikono juuuuRafiki kwa mchoro wa picha yangu iliyopo kwenye hiyo avatar yangu unanipa marks ngapi?[emoji30][emoji30][emoji30]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi Kuna Mdada alinitumia Picha yake whatsapp duu mtoto mashalaa rangi ya Mtume nikasema kama kweli hivi ndivyo alivyo basi sitageuka Nyuma, Rahaula alivyoonekana live nilitamani kuzima simu ila nilijipa Moyo konde ili nimuangalie kwa ukaribu.. Hizo 360 Camera Jamani hata Mzimu unaweza kuwa Malaika .... Mungu anatuona
Sitokuangusha kwa shemeji mpyaSwadaktaaaaa....unafaa sana dunia ya leo
Khaaaa....!!!Ewaaaaa
Eti 360 mzimu unaweza kuwa malaika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi hanitaki sasa. Kaniambia anakupenda wewe.Nmemwachia Mzigua90 simtakii
Unadanganya!.....hakuna mwanaume asiependa chura!!.....umenipa marks ndogo ila mimi ni handsome kuliko huyo mwanaume wako wa mtandaoni!7%,huyo kaka kaniambia anapenda flat screen[emoji23][emoji23] mikono juuuu
Sijui ataanzia wapi wallah...Babu tulia sky anakutoshaa .....mbona anakuvumilia mengi hvyo
Ngoja nmwambie sky akupe kibuti kama zari kwa dai
Uanze na mimi please.Acheni nimle kwanza ntawaachia
Dadadeeeki. Hata shetani atashangaa
Asubuhi kitanda kitakuwa hivyo
Huwezi kumfikia we endelea na machura yako tuUnadanganya!.....hakuna mwanaume asiependa chura!!.....umenipa marks ndogo ila mimi ni handsome kuliko huyo mwanaume wako wa mtandaoni!
Nikinogewa je [emoji6][emoji6]Uanze na mimi please.