Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

Wanaume wa JF wanapambana... sema tu huyu mama wa Sabrina anazengua...

images
Hahaahhaahah wanapambana nini
 
Sawa endelea kunificha hivyohivyo na nitachokuja kukufanyia usilete mrejesho sawa chimamiii eeehhh!ntakupigilia kristapen ya hatari!
 
Mimi Kuna Mdada alinitumia Picha yake whatsapp duu mtoto mashalaa rangi ya Mtume nikasema kama kweli hivi ndivyo alivyo basi sitageuka Nyuma, Rahaula alivyoonekana live nilitamani kuzima simu ila nilijipa Moyo konde ili nimuangalie kwa ukaribu.. Hizo 360 Camera Jamani hata Mzimu unaweza kuwa Malaika .... Mungu anatuona
Hahahaha picha za kuedit nazijua sana ,halaf huyu yupo mbele hahitaji hata kujiedit ,ukiwa mbele ni editing tosha
 
Back
Top Bottom