Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #121
Guna tu ni makubwaaMhhh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Guna tu ni makubwaaMhhh!
Pitia huku kwanzaUanze na mimi please.
Nitajie embu hao watu mpenzi. Na mie nataka bwana kwa trump labda atanibeba anihamishie huko [emoji2][emoji2]Ni yeyeee
Najua wako watatu kwa trump wako na uhandsome sio wa nchi hiii
Hahahahahaaaaa.. Lucky Star ni nani?Pitia huku kwanza
Mie sipendi mahandsome ningeshamchukuaaaa!!!
Nimemkosa. Ngoja niongeze juhudi na diet anaweza akanikubali akiniona.7%,huyo kaka kaniambia anapenda flat screen[emoji23][emoji23] mikono juuuu
Sijakuelewa Mzigua. Hebu tumia lugha rahisi au kuja pmHahahahahaaaaa.. Lucky Star ni nani?
Mi nitakula halafu sitanogewa ntamrudisha.Nikinogewa je [emoji6][emoji6]
Ebu niambie ni nani sema me si unajua sipendagi mahandsome nimjue tu
Money Penny anasemaga pita na huku mara atatuma money penny ni nani [emoji2]Sijakuelewa Mzigua. Hebu tumia lugha rahisi au kuja pm
Hairuhusiwi hapaMi nitakula halafu sitanogewa ntamrudisha.
Sorry,labda Lugha ilifanana tu. Sikumaanisha chochote kuhusiana na huyo. Nilipost kulingana na mawazo yaliyo ktk post yakoMoney Penny anasemaga pita na huku mara atatuma money penny ni nani [emoji2]
Huwa anapigwa ban kwa kosa gani,maana huwa hatukani?Money Penny anasemaga pita na huku mara atatuma money penny ni nani [emoji2]
Ooh. Basi nilijua na wewe unaelewa maana ya hiyo misemo mkuu.Sorry,labda Lugha ilifanana tu. Sijumaanisha chochote kuhusiana na huyo. Nilipost kulingana na mawazo yaliyo ktk post yako
Kuweka link za blog yake nahisi.Huwa anapigwa ban kwa kosa gani,maana huwa hatukani?
JamaniHa ha ha ha hii shikamoo ina namna nmegoma kuipokea
Nashukuru kwa kunishtua mkuu. Nishaomba id yake tayari kwa mama sabrinaSikutaka kukunyima fursa Mzigua [emoji3]