Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

Mimi Kuna Mdada alinitumia Picha yake whatsapp duu mtoto mashalaa rangi ya Mtume nikasema kama kweli hivi ndivyo alivyo basi sitageuka Nyuma, Rahaula alivyoonekana live nilitamani kuzima simu ila nilijipa Moyo konde ili nimuangalie kwa ukaribu.. Hizo 360 Camera Jamani hata Mzimu unaweza kuwa Malaika .... Mungu anatuona
Pole pambana na hali yakooooo
 
Back
Top Bottom