Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mimi hapa huoni hata sura yangu ya kipole eeh.Mpole wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi hapa huoni hata sura yangu ya kipole eeh.Mpole wapi
Unamtetea bora mimiNa wewe unakubali au nisije nikawa nakutetea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mshipa nakusubir pm na pcha yako itangulie
Itabidi watu wapige kuraaMpole wapi
Kuwachanganyaje?Hata hivyo umewachanganya wanaume wa jf.
Mi nimepita tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umechoka kuniona jf mdogo wangu
Weeee kule chini je ?Mimi hapa huoni hata sura yangu ya kipole eeh.
Hahaha nitaiweka uzi mpigiwe kuraaaaUnamtetea bora mimi
Duu unapenda ubuyu sana hana anakuzinguaNachokaje kukuona basi nitumie kule
HahahahahahahAlijua anatuma pm kwa Mama Sabrina kachanganya mafaili [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kule chini majaliwa ya Allah ila hata kule pia mie mpole.Weeee kule chini je ?
Huyo naye katokea wapi huku amekosea njiaKuwachanganyaje?
King'ang'anizi kama mimi eti[emoji23][emoji23][emoji23]Duu unapenda ubuyu sana hana anakuzingua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeHahaha
Hapo sawa... Mshipa ukuje huku
Ngoja nimpe poleee tuHahahahahahah
Wakati nasikia huwa panafyonzaaa fyuuuuuKule chini majaliwa ya Allah ila hata kule pia mie mpole.
Hehehe tumwacheHuyo naye katokea wapi huku amekosea njia
Comment yangu ya kwanza kwenye uzi wako nilikuambia hivi.Nilifungua ule uzi wa kuwasimanga kama kawaida yenu mnavyotusimanga wanawake wa jf,,wengine mapovu ya uhakika halaf hata nguo chafu sina,niliyaoga tu hakuna namna.
Siku hiyo kuna mwanaume akanifata akaniambia kweli mama Sabrina sisi tunafanana na hamorapa kweli?.akarudia tena kweli??mbona we mwanamke upo hivyo ,kiukweli kuitazama ile id ni ya muda mrefu tu ila kaka watu hapendi kupost anasoma tu basi, nikamuambia ni utani tu wala usijali kabisa ndio akanielewa ,maana aliongea kihuzuni kweli kama angekuwa karibu hata ningempa ziwa anyonye tu yaan kaongea kiupole na kihuruma kweli haamini jomoniiii.
Lahaulaa!!!!yule mwanaume maana sio mvulana akanitumia picha yake wallah nikadata ghafla nikastak kwa muda hivi ,mwanaume ana rangi ya dhahabu yule anang'aa sikuamini Yailah!!!! mpaka nikajikuta nimetoa namba hata bila kuombwa ,ana macho mazuri,pua ndefu,midomo ya kulamba lips zake tamu kiukweli[emoji8][emoji8]
Nikasema kumbe jf hawavumi lakin wamo eee kiukweli we mwanaume ni handsome unafaa yaan unang'aa hata umeme siuhitaji tena ,unaonekana mtamu sana wewe ,basi kaka watu akanipandia hewani namba inaanzia +1 wengi mnajua hiyo code ya wapi,kaka ana sauti nzuri sijawah sikia mimi ,profile kwake kaweka picha yake nyingine ,nahisi napotezwa mimi naomba mniweke kwenye maombi yenu tafadhali maana huyu kaka anakuja mwezi ujao tu hivi kweli wanajf ntapindua kweli?na mnavojua mimi na wakaka mahandsome damu damu,sijalala jana usiku kucha naongea na simu tu,asubuhi na penyewe kanipigia nimechizika hapa sijielewi ,kuna wanaume wana mvuto wa ajabu,msinilaumu sana mlaumuni yule mwanaume kajitoa muhanga kuonyesha kuwa kuna wanaume wazuri humu ila wamenyamaza kimyaa tuseme ni (low profile).Basi hapa hata wale wenye sura ngumu nao watajitazama kwenye kioo leo mara mbili mbili hawaamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa niaba ya yule mwanaume (simtaji jina jamani ni siri yangu na hapendi kujulikana )naomba msamaha sitorudia kabisa kusema nyinyi mna sura ngumu nadhani mlininukuu vibaya nimefuta kauli kuanzia leo ,kama lolote likitokea naamini sitawaangusha wanawake wa jf [emoji23][emoji23][emoji23] maana kuna vitu kuviacha ni dhambi kubwa hata Mungu atanishangaa,we kaka unaeishi jimbo la M................. kwa Trump nimekukumbali vibaya na hilo lisauti la kufanya kisima kijae maji hakika umenikamata ,safari hii nimekamatika hadi Docta kazidiwa sijaamini nyie[emoji22][emoji22][emoji22] huyu kaka akisema toka jf natoka tu,toka chit chat natoka ,akisema nimpe password nampa tu ntafanyaje sasa nahisi kurogwa mimi
(Sitomtaja jina kabisa kwa hiyo sitegemei kuulizwa jina)
Na leo mkitoa mapovu nimewasifia mtanitambua wiki ijayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha siistahili hizo sifa SakayoHahaha
Hivi kumbe we muoga kusifiwa eeh
Leo umekamatika eeeh..[emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee