Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

Wanaume wa JF mnisamehe jomooni

hahahahahahah wewe ni shida sanaaaaa
nimefurahi kweli jaman
kuna watu mmeumbwa huku duniani kuondoa stress za watu
big up mkuu
Jje najuaga unanikubali toka zamanii,yaan mim na wewe damu inaweza kuwa group o wote[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa eti jamani sisi majiwe si binada lolote laweza tokea maana tuna hisia
 
Back
Top Bottom