Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Gudume Leo kasema ukiiacha bila kufua inakuwa ngumu ktikat kama chapat za kusukuma zilizokosa mafutaaaa chaiiiiiiWe ni hatareee inamrukia mtu kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gudume Leo kasema ukiiacha bila kufua inakuwa ngumu ktikat kama chapat za kusukuma zilizokosa mafutaaaa chaiiiiiiWe ni hatareee inamrukia mtu kichwani
Ngoja nimtafute ahahGudume Leo kasema ukiiacha bila kufua inakuwa ngumu ktikat kama chapat za kusukuma zilizokosa mafutaaaa chaiiiiii
Mm mwenyewe nimemmiss angekuwa handsome ningeshamtunuku game Sema na yy Malaya Kama nnNgoja nimtafute ahah
Sio mm kweli?Nilifungua ule uzi wa kuwasimanga kama kawaida yenu mnavyotusimanga wanawake wa jf,,wengine mapovu ya uhakika halaf hata nguo chafu sina,niliyaoga tu hakuna namna.
Siku hiyo kuna mwanaume akanifata akaniambia kweli mama Sabrina sisi tunafanana na hamorapa kweli?.akarudia tena kweli??mbona we mwanamke upo hivyo ,kiukweli kuitazama ile id ni ya muda mrefu tu ila kaka watu hapendi kupost anasoma tu basi, nikamuambia ni utani tu wala usijali kabisa ndio akanielewa ,maana aliongea kihuzuni kweli kama angekuwa karibu hata ningempa ziwa anyonye tu yaan kaongea kiupole na kihuruma kweli haamini jomoniiii.
Lahaulaa!!!!yule mwanaume maana sio mvulana akanitumia picha yake wallah nikadata ghafla nikastak kwa muda hivi ,mwanaume ana rangi ya dhahabu yule anang'aa sikuamini Yailah!!!! mpaka nikajikuta nimetoa namba hata bila kuombwa ,ana macho mazuri,pua ndefu,midomo ya kulamba lips zake tamu kiukweli[emoji8][emoji8]
Nikasema kumbe jf hawavumi lakin wamo eee kiukweli we mwanaume ni handsome unafaa yaan unang'aa hata umeme siuhitaji tena ,unaonekana mtamu sana wewe ,basi kaka watu akanipandia hewani namba inaanzia +1 wengi mnajua hiyo code ya wapi,kaka ana sauti nzuri sijawah sikia mimi ,profile kwake kaweka picha yake nyingine ,nahisi napotezwa mimi naomba mniweke kwenye maombi yenu tafadhali maana huyu kaka anakuja mwezi ujao tu hivi kweli wanajf ntapindua kweli?na mnavojua mimi na wakaka mahandsome damu damu,sijalala jana usiku kucha naongea na simu tu,asubuhi na penyewe kanipigia nimechizika hapa sijielewi ,kuna wanaume wana mvuto wa ajabu,msinilaumu sana mlaumuni yule mwanaume kajitoa muhanga kuonyesha kuwa kuna wanaume wazuri humu ila wamenyamaza kimyaa tuseme ni (low profile).Basi hapa hata wale wenye sura ngumu nao watajitazama kwenye kioo leo mara mbili mbili hawaamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa niaba ya yule mwanaume (simtaji jina jamani ni siri yangu na hapendi kujulikana )naomba msamaha sitorudia kabisa kusema nyinyi mna sura ngumu nadhani mlininukuu vibaya nimefuta kauli kuanzia leo ,kama lolote likitokea naamini sitawaangusha wanawake wa jf [emoji23][emoji23][emoji23] maana kuna vitu kuviacha ni dhambi kubwa hata Mungu atanishangaa,we kaka unaeishi jimbo la M................. kwa Trump nimekukumbali vibaya na hilo lisauti la kufanya kisima kijae maji hakika umenikamata ,safari hii nimekamatika hadi Docta kazidiwa sijaamini nyie[emoji22][emoji22][emoji22] huyu kaka akisema toka jf natoka tu,toka chit chat natoka ,akisema nimpe password nampa tu ntafanyaje sasa nahisi kurogwa mimi
(Sitomtaja jina kabisa kwa hiyo sitegemei kuulizwa jina)
Na leo mkitoa mapovu nimewasifia mtanitambua wiki ijayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Usinambie ni malaya ee?!!Mm mwenyewe nimemmiss angekuwa handsome ningeshamtunuku game Sema na yy Malaya Kama nn
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm mwenyewe nimemmiss angekuwa handsome ningeshamtunuku game Sema na yy Malaya Kama nn
Ahahahah ye hata hakoment kabisa,he is very smartSio mm kweli?
Nakumbuka jana nilikukoti nikiwa nimeweka pic yangu...
Ndukiiiii.....
Story zake za kugegeda wanawake zinanichoshaaa sanaUsinambie ni malaya ee?!!
Heheeh mvumilie tuStory zake za kugegeda wanawake zinanichoshaaa sana
Mbn kicheko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mama sablina nakuhakikishia ukiniona basi utamuacha baba Sabri coz vitu unavyopenda ninavyo na zaidi..Ahahahah ye hata hakoment kabisa,he is very smart
Ntamfundishaje kuvuta ndani?Mfundishe tu baba
Wacha weee subiri nimalizane na huyu handsome kwanzaMama sablina nakuhakikishia ukiniona basi utamuacha baba Sabri coz vitu unavyopenda ninavyo na zaidi..
Labda akila kitumbua changu ataaachaHeheeh mvumilie tu
hahaha [emoji23] [emoji23] [emoji126]Sana yan hapo shikilia wanga wengiii
Nimefurahi mie au hutakiMbn kicheko
SawqKuna video call kumbuka hilo.. itanogesha.