Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Pole pole...
I do the same
Kweli kabisa ila Kuna wanaume hawaibiki jamani ukiona ameenda kwa mwingine something might be wrong..Hahaaa...
Manake kuna manyaku nyaku humu
Sawa mdogo wangu.Kweli kabisa ila Kuna wanaume hawaibiki jamani ukiona ameenda kwa mwingine something might be wrong..
Wana misimamo mpaka raha.. Pia wanaridhika na alienae
Those are real men ambao ni wachache sana
Cc Smart911
Siwezi weeNatoa $100 mtaje ili na mwanamke mwenzio umjue
HahahahaaaBila kumtaja jina haujautendea haki huu uzi
Naona umekuja kufukua kaburi mkuu [emoji23] [emoji23]Leo kumepooza humu eeh?
Vipi tuanze mwendo wa mapicha na mavideo?
Mambo ni motoooooLeo kumepooza humu eeh?
Vipi tuanze mwendo wa mapicha na mavideo?
Ha haha Demi we jinga ujueMambo ni motooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha haha Demi we jinga ujue
Ubuyu niutolee wapi mie Nyani Ngabu mwenyewe anibania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaman nisamehe Sana naomba Nikufate pm nahisi kama una ubuyu hiv ila unaninyima
Kina special dominants humu....MMU imekua kama badoo.