Nakupenda ndio maana lazima nikujue kiundani.Hahahahahah inaonekana huyu member ananifatiliaga mwanzo mwisho [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimejifunza kutokana na makosa dada angu ila huwa inategemea mtu na mtu kama asingeniyeyusha nisingemdai
Dada huyu kapitia magumu kumshinda Al- bashir wa sudan.Hahahaaaa
Naomba nkupokee mkuu, nipo hapahapa town..Maeneo ya area CHaya. Nitafutie mwenyeji basi
Nakupenda ndio maana lazima nikujue kiundani.
Bhado sijapata jibu kwanini uliachana na mganga.
Sent from my HTC_D816x using JamiiForums mobile app
Hata Pm jamani mbona unabana sanaaMh dada nimeshakula kichambo chake kasema nikizingua tu ananishtaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada huyu kapitia magumu kumshinda Al- bashir wa sudan.
Sent from my HTC_D816x using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamaniii!!!mganga kumbe ni mtu sana ehhMganga alikuwa ananipenda kama wewe alikuwa ananionea huruma sna kaz ikabid atumie mbinu ya mapenzi ili kuniweka sawa namshukuru saiv ni muajiriwa wa magufuli hicho tu alichokuwwa anakitaka mganga.
Pia tukijisikia huwa tunapasha kiporo .
Bora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.
Kwanini nimesema mwanaume yeyote anaye hitaji kuonana na mimi lazima atume nauli.
MKASA
Kuna mkaka mmoja wa Jf ana I'd yake inaanzia kama ya kike alinifata pm anahitaji kuonana na mimi.
Mimi wala sikuwa na shobo naye akaniganda kama rubaa nakwambia ooh mara natoka Canada nitashuka kenyata airport mara sjui wapi nakuja Dodoma kikazi lazima nikuone Demiss.
Mimi kusikia hivyo nikaona huyu mtu wa maana bwanaa weee kumbe hamsini zangu zimefika chiii
Huyu mkaka baada ya kufika Dom tukawasiliana akasema niende town alafu si mnajua mm naishi huku Hombolo jamani.
Eeeh nikachukua bodaboda mpaka mjini gharama elf 20 nikalipa.
Kichwani nilivaa wigi limeshachambuka na upepo limekuwa kama vuzi la Escober.
Nikapitia saloon kwa Jesca mcharuko akanipaka make up mimi akanichana na wigi kwa sh elf 5. Jumla nimetumia elf 25 mpaka hapo.
Nikakaa hapo saloon nasubiria kuonana na Mwanajf asije akanikimbia nimeshajipodoa na kuupara mtoto nanukia marashi weee balaaa.
Wewe si akaingiza sababu kibaoo jaman nilikereka hapo alisema atarudisha nauli yangu ikabidi niende kulala kwenye geto la Jesca Maili mbili.
Kesho nikaamka nikaenda nane nane nikapanda Super baraka mpaka hombolo nikiwa na mawazo debee.
Jaman nilipata hasara yani hela yangu bado inaniuma mpaka leo.
Alafu huyo member alisema atanirudishia lakini wapi mpaka leo sijaona muamala ukisoma kiufupi hela yangu inaniuma yani ningenunua mchele si ningepata hata kilo kumi.
Kuanzia leo naomba mjue mimi naishi HOMBOLO village.
Mchanganuo wa nauli
Hombolo-Town Elfu 40,000 kwenda na kurudi.
Saloon - Elf10,000
Kama huna nauli basi uwe na gari ya kunifata nilipo sitaki usumbufu.
Onyo:
Sijalazimisha kuonana na mtu ila mkae mkijua habari ndo hiyooo.
Alafu mm sina kifua ukinifanyia kitu lazima niseme saivi kiufupi siwezi kuweka mambo rohoni nisije kufa na pressure.
Location: Ihumwa Machimboni.
Kwanini hamkuonana na ulienda kwa ajili yake?[emoji13][emoji13]au alikukimbia?Nauli tu hata hatujaonana mweee angenikula na papuchi ningesema na ningemdai
Mganga alikuwa ananipenda kama wewe alikuwa ananionea huruma sna kaz ikabid atumie mbinu ya mapenzi ili kuniweka sawa namshukuru saiv ni muajiriwa wa magufuli hicho tu alichokuwwa anakitaka mganga.
Pia tukijisikia huwa tunapasha kiporo .
Ahsante mkuuNaomba nkupokee mkuu, nipo hapahapa town..Maeneo ya area C
Apart from everything, Mshanajr did a very good thing...Mganga alikuwa ananipenda kama wewe alikuwa ananionea huruma sna kaz ikabid atumie mbinu ya mapenzi ili kuniweka sawa namshukuru saiv ni muajiriwa wa magufuli hicho tu alichokuwwa anakitaka mganga.
Pia tukijisikia huwa tunapasha kiporo .
Kwanini hamkuonana na ulienda kwa ajili yake?[emoji13][emoji13]au alikukimbia?
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamaniii!!!mganga kumbe ni mtu sana ehh
Duh, kumbe asee!
Ngoja nitupe nyavu na mimi isipokuwa na mashaka na mbunye mganga anazopitia unashangaa kesho unaamka mashine haipo. Ohoooo! Itabidi nipitie pangani kabla ya mashambulizi kuanza.
Sent from my HTC_D816x using JamiiForums mobile app