Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Usiwe na wasi. Watu wamekuelewa vizuri. Watakuja PM na hatimaye kukutumia pesa. Usiwadhulumu lakini. Wahudumie wote...
Nimejifunza kutokana na makosa dada angu ila huwa inategemea mtu na mtu kama asingeniyeyusha nisingemdai
 
Mganga alikuwa ananipenda kama wewe alikuwa ananionea huruma sna kaz ikabid atumie mbinu ya mapenzi ili kuniweka sawa namshukuru saiv ni muajiriwa wa magufuli hicho tu alichokuwwa anakitaka mganga.

Pia tukijisikia huwa tunapasha kiporo .
Nakupenda ndio maana lazima nikujue kiundani.
Bhado sijapata jibu kwanini uliachana na mganga.

Sent from my HTC_D816x using JamiiForums mobile app
 
Mganga alikuwa ananipenda kama wewe alikuwa ananionea huruma sna kaz ikabid atumie mbinu ya mapenzi ili kuniweka sawa namshukuru saiv ni muajiriwa wa magufuli hicho tu alichokuwwa anakitaka mganga.

Pia tukijisikia huwa tunapasha kiporo .
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamaniii!!!mganga kumbe ni mtu sana ehh
 
Acha kuwa cheap, hafu ishu zingine hela unatumia za kwako kuna siku utapewa nyingi
Bora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.

Kwanini nimesema mwanaume yeyote anaye hitaji kuonana na mimi lazima atume nauli.

MKASA
Kuna mkaka mmoja wa Jf ana I'd yake inaanzia kama ya kike alinifata pm anahitaji kuonana na mimi.
Mimi wala sikuwa na shobo naye akaniganda kama rubaa nakwambia ooh mara natoka Canada nitashuka kenyata airport mara sjui wapi nakuja Dodoma kikazi lazima nikuone Demiss.

Mimi kusikia hivyo nikaona huyu mtu wa maana bwanaa weee kumbe hamsini zangu zimefika chiii

Huyu mkaka baada ya kufika Dom tukawasiliana akasema niende town alafu si mnajua mm naishi huku Hombolo jamani.

Eeeh nikachukua bodaboda mpaka mjini gharama elf 20 nikalipa.
Kichwani nilivaa wigi limeshachambuka na upepo limekuwa kama vuzi la Escober.
Nikapitia saloon kwa Jesca mcharuko akanipaka make up mimi akanichana na wigi kwa sh elf 5. Jumla nimetumia elf 25 mpaka hapo.

Nikakaa hapo saloon nasubiria kuonana na Mwanajf asije akanikimbia nimeshajipodoa na kuupara mtoto nanukia marashi weee balaaa.

Wewe si akaingiza sababu kibaoo jaman nilikereka hapo alisema atarudisha nauli yangu ikabidi niende kulala kwenye geto la Jesca Maili mbili.

Kesho nikaamka nikaenda nane nane nikapanda Super baraka mpaka hombolo nikiwa na mawazo debee.
Jaman nilipata hasara yani hela yangu bado inaniuma mpaka leo.
Alafu huyo member alisema atanirudishia lakini wapi mpaka leo sijaona muamala ukisoma kiufupi hela yangu inaniuma yani ningenunua mchele si ningepata hata kilo kumi.

Kuanzia leo naomba mjue mimi naishi HOMBOLO village.

Mchanganuo wa nauli
Hombolo-Town Elfu 40,000 kwenda na kurudi.
Saloon - Elf10,000

Kama huna nauli basi uwe na gari ya kunifata nilipo sitaki usumbufu.

Onyo:
Sijalazimisha kuonana na mtu ila mkae mkijua habari ndo hiyooo.
Alafu mm sina kifua ukinifanyia kitu lazima niseme saivi kiufupi siwezi kuweka mambo rohoni nisije kufa na pressure.

Location: Ihumwa Machimboni.
 
Duh, kumbe asee!
Ngoja nitupe nyavu na mimi isipokuwa na mashaka na mbunye mganga anazopitia unashangaa kesho unaamka mashine haipo. Ohoooo! Itabidi nipitie pangani kabla ya mashambulizi kuanza.
Mganga alikuwa ananipenda kama wewe alikuwa ananionea huruma sna kaz ikabid atumie mbinu ya mapenzi ili kuniweka sawa namshukuru saiv ni muajiriwa wa magufuli hicho tu alichokuwwa anakitaka mganga.

Pia tukijisikia huwa tunapasha kiporo .

Sent from my HTC_D816x using JamiiForums mobile app
 
Mganga alikuwa ananipenda kama wewe alikuwa ananionea huruma sna kaz ikabid atumie mbinu ya mapenzi ili kuniweka sawa namshukuru saiv ni muajiriwa wa magufuli hicho tu alichokuwwa anakitaka mganga.

Pia tukijisikia huwa tunapasha kiporo .
Apart from everything, Mshanajr did a very good thing...
Kudos to him.
Kudos to you too for being thankful.
 
Hivi saiv naringa mjini sababu ni yeye ndugu hapa kamshahara kameingia toka tarehe 18 bado sijakatoa hata wanichambe vip kihela cha kudunda nacho kipo siyo kama zaman
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]jamaniii!!!mganga kumbe ni mtu sana ehh
 
Wewe acha tu yani siku yeyote akiomba kiporo naenda bila hata kumuomba nauli

Back
Top Bottom