Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ndio maana akapanik alivyoona huu uzi maana alijua atatajwa aumbuke. Kujistukia kubaya sana, kumbe demiss wa watu walaa hana habari.Hapo sasa. Kuna mashoga bila wafanyaji?
Eti malaya kisa ulimnunua. Watu wanapenda kujisafisha huku wakichafua wengine.