Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Roho imeniuma , sidanganyi ningekuwa na mawe ningeshusha muamala saivi sema nipo machimboni huku. Sala zako madini yapatikane. Nadhani unaelewa wachimbaji tukipata hela inakuwaje.
Maisha yangu nayajua mwenyewe na sijawahi kuwa msiri nipokushare nanyi mjifunzee mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…