Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Wanaume wa JF muwe mnatuma nauli mkitaka kuonana na warembo mwenzenu kanitia hasara!

Kuna jamaa mmoja alinifuata pm Jana baada ya kuandika reply yangu kwenye huu Uzi kuhusu dada uliyoquote anasema walionana na huyu dada alipoenda dodoma mapumziko, ilikuwa wagegedane baada ya kufika anasema demu alikuwa kawaida mnene kiasi, shepu haiweleki na mweupe kiasi akaagiza savvanah then akamuaga anaondoka kuendelea na ratiba..anasema hakumvutia kabisa, akanitumia picha zake na namba zake za simu anazotumia na akanipa majina yake anayotumia kwenye mitandao ya kijamii, fb na inst......nakubaliana na unachosema.
Kama ataridhia niziweke hapa hadaharani

Mm tangu Jana nilipoona hii thread nilijua tu huyu atakuwa danga
Aisee eti Demiss ya kweli haya nijuavyo hii mada si ukweli bali kuchangamshana ila umemdhalilisha kwa kweli 😢😢😢😢😢
 
Bora tu niseme ukweli kuliko kudanganyanaa.

Kwanini nimesema mwanaume yeyote anaye hitaji kuonana na mimi lazima atume nauli.


MKASA
Kuna mkaka mmoja wa Jf ana I'd yake inaanzia kama ya kike alinifata pm anahitaji kuonana na mimi.
Mimi wala sikuwa na shobo naye akaniganda kama rubaa nakwambia ooh mara natoka Canada nitashuka kenyata airport mara sjui wapi nakuja Dodoma kikazi lazima nikuone Demiss.

Mimi kusikia hivyo nikaona huyu mtu wa maana bwanaa weee kumbe hamsini zangu zimefika chiii

Huyu mkaka baada ya kufika Dom tukawasiliana akasema niende town alafu si mnajua mm naishi huku Hombolo jamani.

Eeeh nikachukua bodaboda mpaka mjini gharama elf 20 nikalipa.
Kichwani nilivaa wigi limeshachambuka na upepo limekuwa kama vuzi la Escober.
Nikapitia saloon kwa Jesca mcharuko akanipaka make up mimi akanichana na wigi kwa sh elf 5. Jumla nimetumia elf 25 mpaka hapo.

Nikakaa hapo saloon nasubiria kuonana na Mwanajf asije akanikimbia nimeshajipodoa na kuupara mtoto nanukia marashi weee balaaa.

Wewe si akaingiza sababu kibaoo jaman nilikereka hapo alisema atarudisha nauli yangu ikabidi niende kulala kwenye geto la Jesca Maili mbili.

Kesho nikaamka nikaenda nane nane nikapanda Super baraka mpaka hombolo nikiwa na mawazo debee.
Jaman nilipata hasara yani hela yangu bado inaniuma mpaka leo.
Alafu huyo member alisema atanirudishia lakini wapi mpaka leo sijaona muamala ukisoma kiufupi hela yangu inaniuma yani ningenunua mchele si ningepata hata kilo kumi.

Kuanzia leo naomba mjue mimi naishi HOMBOLO village.

Mchanganuo wa nauli
Hombolo-Town Elfu 40,000 kwenda na kurudi.
Saloon - Elf10,000

Kama huna nauli basi uwe na gari ya kunifata nilipo sitaki usumbufu.

Onyo:
Sijalazimisha kuonana na mtu ila mkae mkijua habari ndo hiyooo.
Alafu mm sina kifua ukinifanyia kitu lazima niseme saivi kiufupi siwezi kuweka mambo rohoni nisije kufa na pressure.

Location: Ihumwa Machimboni.
Na sisi Wa Mtumba Tunatuma nauli au Nitume baisikelii
 
Wewe ndo utanikimbia ndugu maana natishaaa
Ha ha ha ntakua ke ninapotak kuja kukuona ila nikifika tu nakuwa dume LA nyani, sijui utanikimbia Mchana kweupe
 
Kuna jamaa mmoja alinifuata pm Jana baada ya kuandika reply yangu kwenye huu Uzi kuhusu dada uliyoquote anasema walionana na huyu dada alipoenda dodoma mapumziko, ilikuwa wagegedane baada ya kufika anasema demu alikuwa kawaida sana mnene kiasi, shepu haiweleki na mweupe kiasi na hakumvutia kabisa,ikabidi aagize savvanah then akamuaga anaondoka kuendelea na ratiba..anasema hakumvutia kabisa, akanitumia picha zake na namba zake za simu anazotumia na akanipa majina yake anayotumia kwenye mitandao ya kijamii, fb na inst......nakubaliana na unachosema.
Kama ataridhia niziweke hapa hadaharani

Mm tangu Jana nilipoona hii thread nilijua tu huyu atakuwa danga
Chunusi alizokua nazo zimemwisha maana anajichubua sana plus ni mfupi mno..

Uweupe wake ni wa kujichubua aisee...
 
Aisee eti Demiss ya kweli haya nijuavyo hii mada si ukweli bali kuchangamshana ila umemdhalilisha kwa kweli 😢😢😢😢😢
Hapana sijamdhalilisha, huyu jamaa baada ya kuona comment yangu akanifuata pm akacheka Sana akasema kwa ambao hawamjui dada wanaweza Kusema matawi ya juu mno, nilivoona Kuna mwingine ameniquote kuwa anamfahamu ikabidi nimfuate chumbani tulinganishe taarifa za nilizopewa Jana ...namba ni ileile na anasema yeye ila kina mshikaji wake kamla na wanegoogle mpka sehemu anapofanyia kazi....,
 
Ulijuaje mm mpaka kongo nimeshafika unachezea maroli weyeee nilikuwa nauza karanga barabaran nikabebwa na maroli mpaka leo
Si nyie wa singida mnapandaga malori tank ya mafta lazima umejiongeza hapo dar itakuona Lori likishusha mzigo bujumbura
 
Umeona eeh maisha magumu
Jaman enzi zile watoto wa Hombolo LGTI ndo walifaidi lakini tangu msimu huu uingiee hamna mambo si mlaumu huyo kaka..kwenda mjini ilikua ni kama unaenda chooni kupanda shabiby na super baraka ni kama kuvaa kandambili.
 
Back
Top Bottom