tusipotoshane
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 730
- 694
Demis wala sio kicheche,amehamishiwa Dodoma kikazi baada ya Serikali kuhamia Dodoma.Ukimwona kwa macho hutaamini kama ndio yeye.Anaheshima zake na ni mtu responsible /accountable kwenye jamii.Demis nilikuwa niko radhi kuja hadi dom ila una dalili zote za kuwa cheche!
Najivua gamba