Kweli mkuu ukiwa mwizi lazma uwe mnyenyekevu na mstaarabu Sana sehemu unayokaa, huyu dada katembea na asilimia kubwa ya member wa humu wanaoenda Dom...taarifa zake wanazo anavoanika ujinga watu wanamuona usidhani wanamuacha hivihivi....namuonea hurumaanaweza kupoteza kazi kijinga Sana,...zitarushwa video humu aanze kulialia..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]